Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
habari za kizushi hzi
teh!teh!......hapo kwenye red baadae urudi usema kama ni habari za kuaminika....umesikia wewe Gamba
habari za kizushi hzi
Leo saa kumi jioni Star Tv kwenye kipindi chake cha 'Vidokezo vya Habari' kumetokeza habari kwamba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora amejiunga na Chadema.
Ama kweli M4C inashika kasi kubwa.
Tunamsubiri mpendwa wetu Nape Nauye ambaye ameshindwa kututhibitishia hapa JF uanachama wake wa ccm. Cross the floor and welcome Nape.CDM is your sweet home!
Magazeti ya udakuzi

Tatizo lenu kukurupuka, Mkiti wa vijana wa mkoa wa Tabora anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Sikonge, hajahama CCM wala hana wazo hakuna Mkiti yeyote wa vijana aliyehama si tu wa MKoa hata wilaya wenyeviti wote wa wilaya na mkoa bado ni wanachama hai wa CCM! acheni cheap politics

Huyo kaamua KUVUA GAMBA mwenyewe baada ya MELI YETU YA CCM haitaki kuendelea nao wasio wasafi
Tatizo lenu kukurupuka, Mkiti wa vijana wa mkoa wa Tabora anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Sikonge, hajahama CCM wala hana wazo hakuna Mkiti yeyote wa vijana aliyehama si tu wa MKoa hata wilaya wenyeviti wote wa wilaya na mkoa bado ni wanachama hai wa CCM! acheni cheap politics
Nimeongea na Mkiti wa vijana wa ccm mkoa wa Tabora sasa hivi habari hizo si kweli ni uzushi wa hali ya juu anaye bisha aseme nimpe namba ya kamoga ambae ndie mkiti wa mkoa aongee nae. rubish !

Mkuu punguza jazba!
Tueleze polepole tutakuelewa, yawezekana mtoa taarifa kakosea!
Na ukizingatia kuwa hawa ni jamii moja na akina mashibuda ndo kabisa hawaaminiki.Ndugu yangu Hygea tuwe makini na hawa watu!!!!!!!!!!!!!! ila kwasababu ni kijana sina tatizo sana, ila tunapofikia kupokea njaa njaa kama shibuda tuwe makini sana. CDM ni tegemeo kubwa kuleta mabadiliko TZ. Ahsante kwa taarifa mkuu.