Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

Leo saa kumi jioni Star Tv kwenye kipindi chake cha 'Vidokezo vya Habari' kumetokeza habari kwamba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora amejiunga na Chadema.


Ama kweli M4C inashika kasi kubwa.
Tunamsubiri mpendwa wetu Nape Nauye ambaye ameshindwa kututhibitishia hapa JF uanachama wake wa ccm. Cross the floor and welcome Nape.CDM is your sweet home!
Hivi chadema chama chenu bila kumpata Nape mganga wenu kawaambia hakiwezi kufanikiwa nini?manake mnavyotamani ajiunge na chadema mpaka mnajiabisha na kukiaibisha chama chenu pia,mi naamini mkijipanga mnaweza kabisa kufanikiwa bila ya kujaribu kumnunua Nape
 
Nimeongea na Mkiti wa vijana wa ccm mkoa wa Tabora sasa hivi habari hizo si kweli ni uzushi wa hali ya juu anaye bisha aseme nimpe namba ya kamoga ambae ndie mkiti wa mkoa aongee nae. rubish !
Nenda kachome makanisa huko wadini nyinyi
 
Kwa kuwa nakufahamu, huku nikitambua hili jina lako si la kificho kama M-Mbongo, nalazimika kuamini moja kwa moja unachokisema..naam,sasa naomba ufafanuzi mmoja tu Bw.Pigangoma ili tutulie..huyo Bw. Singu alikuwa mwenyekiti wa UV-nyinyiemu kwenye level gani huko tabora kabla ya kuvua gamba??.

Zaidi ya hapo Hongereni sana kuvua hilo Gamba, maana najua hapo TBR mko na diwani mmoja tu kwenye Baraza la Madiwani,nadhani mtaongeza kiti hapo. Big-up

Alikuwa zaman mpaka anahamia kwenye kikundi cha ngonjera alikuwa mwanachama wa kawaida.U diwani alishindwa Mara 2,..
Haki yake ya msingi kuamua atakacho
 
MAKAO MAKUU-DODOMA watoe tamko juu ya hili tena kama walivyojibu hotuba ya Zitto aliyoitoa Merikani.
Mungu amepanga aibu kubwa kwa ccm, ambayo itamwacha kila Mtanzania mdomo wazi.

CCM wanajitazamia hawana msaada kutoka kaskazini, kusini ,amashariki, magharibi wala juu bali wansubiriwa chini wazikwe kwani kaburi limeshakamilika na beleshi zipo pembeni zikisubiri mwili uingizwe ili udongo urudishiwe.
 
Tatizo lenu kukurupuka, Mkiti wa vijana wa mkoa wa Tabora anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Sikonge, hajahama CCM wala hana wazo hakuna Mkiti yeyote wa vijana aliyehama si tu wa MKoa hata wilaya wenyeviti wote wa wilaya na mkoa bado ni wanachama hai wa CCM! acheni cheap politics

Karimwingoti.
 
Hivi chadema chama chenu bila kumpata Nape mganga wenu kawaambia hakiwezi kufanikiwa nini?manake mnavyotamani ajiunge na chadema mpaka mnajiabisha na kukiaibisha chama chenu pia,mi naamini mkijipanga mnaweza kabisa kufanikiwa bila ya kujaribu kumnunua Nape

Nape hatasaidia chochote CHADEMA ila tunamwonea huruma kijana ambaye anatumia nguvu na kupoteza muda kufufua mzoga uliokwisha oza bila kujua. Angeingia chadema angefanya kitu chenye maana ila pale ni kama yuko kwenye usingizi mnene yuko kwenye njozi
 
nimeongea na mkiti wa vijana wa ccm mkoa wa tabora sasa hivi habari hizo si kweli ni uzushi wa hali ya juu anaye bisha aseme nimpe namba ya kamoga ambae ndie mkiti wa mkoa aongee nae. Rubish !

waambie startv sio sisi kwani sio wajinga wenzio wewe gamba la kobe
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja,labda kwa aliyekuwa kwenye runinga mwingine tofauti na mtoa uzi atujuze!
 
Hivi chadema chama chenu bila kumpata Nape mganga wenu kawaambia hakiwezi kufanikiwa nini?manake mnavyotamani ajiunge na chadema mpaka mnajiabisha na kukiaibisha chama chenu pia,mi naamini mkijipanga mnaweza kabisa kufanikiwa bila ya kujaribu kumnunua Nape

Nape ni sawa na wanachama laki moja wa Chadema...
 
Mhhh, kwa kweli CCM wana homa ya kufisha kwa sasa! Huhitaji kuwa mkereketwa wa politics kulijua hili
 
Back
Top Bottom