Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

Embu tupeni jina la huyo kijana aliyeamua kuvua magamba na kuvaa gwanda?

Bahati mbaya jina la huyo mwemyekiti lilinitoka wakati napost hiyo habari. Hebu atokee mwanaJF wa Tabora atujulishe. Yap! Kuna shardcole. Eti shardcole huyo cheamen wa uvccm tabora aitwa nani?
 
You guys watch out wengine ni mamluki walio vaa mabomu........
 
Nimeongea na Mkiti wa vijana wa ccm mkoa wa Tabora sasa hivi habari hizo si kweli ni uzushi wa hali ya juu anaye bisha aseme nimpe namba ya kamoga ambae ndie mkiti wa mkoa aongee nae. rubish !

Tukusikilize wewe mwenye fake ID au Star TV iliyosajiliwa na inalipa kodi
 
Nimeongea na Mkiti wa vijana wa ccm mkoa wa Tabora sasa hivi habari hizo si kweli ni uzushi wa hali ya juu anaye bisha aseme nimpe namba ya kamoga ambae ndie mkiti wa mkoa aongee nae. rubish !

Tusubiri saa 1 Channel 10 au saa 2 Star tv yenyewe tupate majibu ,hamna haja ya kutoa povu.Tumefahamu sasa kuwa una namba yake ya simu .
 
udc ndio ulikuwa mtego wa mwisho wa ccm wa kunasa vijana.sasa mtego hauna chambo nani abaki?
 
Tatizo lenu kukurupuka, Mkiti wa vijana wa mkoa wa Tabora anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Sikonge, hajahama CCM wala hana wazo hakuna Mkiti yeyote wa vijana aliyehama si tu wa MKoa hata wilaya wenyeviti wote wa wilaya na mkoa bado ni wanachama hai wa CCM! acheni cheap politics
Natumia nafasi kuthibitisha taarifa iliyotolewa na star tv kuwa ni sahihi. Mimi nilikuwepo siku Bw. Singu ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu wa NyiNyiEm, mwenyekita wa UVNyiNyiEm, Diwani wa kata ya Ifyucha alijivua Gamba na kuvikwa Gwanda siku ya Jumamosi ya tar 26/5/2012 kwenye kata ya Ifyucha.
 
Tatizo lenu kukurupuka, Mkiti wa vijana wa mkoa wa Tabora anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Sikonge, hajahama CCM wala hana wazo hakuna Mkiti yeyote wa vijana aliyehama si tu wa MKoa hata wilaya wenyeviti wote wa wilaya na mkoa bado ni wanachama hai wa CCM! acheni cheap politics

Natumia nafasi kuthibitisha taarifa iliyotolewa na star tv kuwa ni sahihi. Mimi nilikuwepo siku Bw. Singu ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu wa NyiNyiEm, mwenyekiti wa UVNyiNyiEm, Diwani wa kata ya Ifyucha alijivua Gamba na kuvikwa Gwanda siku ya Jumamosi ya tar 26/5/2012 kwenye kata ya Ifyucha.
 
mfa maji haachi kutapata vuvuzela njoo bisha, wewe kwenye chama chetu ukivua gamba hatukutaki!PEOPLES POWER 4EVER
 
Nape sijui yuko wapi aje atoe kauli ya chama ....hahaaa kazi unayo Nape ..chama kimetepeta hakibebeki tena hicho
 
MAKAO MAKUU-DODOMA watoe tamko juu ya hili tena kama walivyojibu hotuba ya Zitto aliyoitoa Merikani.
Mungu amepanga aibu kubwa kwa ccm, ambayo itamwacha kila Mtanzania mdomo wazi.

Mkuu umesema niliyotaka kusema! Sijawahi kuona tamko bovu kama lile! Nadhani ingekuwa kwenye luninga ningesema wanauza sura!
 
Natumia nafasi kuthibitisha taarifa iliyotolewa na star tv kuwa ni sahihi. Mimi nilikuwepo siku Bw. Singu ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu wa NyiNyiEm, mwenyekiti wa UVNyiNyiEm, Diwani wa kata ya Ifyucha alijivua Gamba na kuvikwa Gwanda siku ya Jumamosi ya tar 26/5/2012 kwenye kata ya Ifyucha.

Kwa kuwa nakufahamu, huku nikitambua hili jina lako si la kificho kama M-Mbongo, nalazimika kuamini moja kwa moja unachokisema..naam,sasa naomba ufafanuzi mmoja tu Bw.Pigangoma ili tutulie..huyo Bw. Singu alikuwa mwenyekiti wa UV-nyinyiemu kwenye level gani huko tabora kabla ya kuvua gamba??.

Zaidi ya hapo Hongereni sana kuvua hilo Gamba, maana najua hapo TBR mko na diwani mmoja tu kwenye Baraza la Madiwani,nadhani mtaongeza kiti hapo. Big-up
 
Narudia tena acheni kukurupuka! Piga Ngoma Mkiti wa vijana anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mkiti wa Halmshauri ya wilaya ya sikonge na kesho anajiandaa kwenda Dodoma kwenye Baraza kuu la Uvccm Taifa ataondoka na wajumbe wote kwa basi la NBS. Singu Sandu aliyejiuzuru wiki moja iliyopita alikuwa ni Mkiti wa vijana wilaya ya Tabora miaka kumi iliyopita baada ya yeye kumaliza muda huo wa Uenyekiti Mkiti aliyefuatia anaitwa Nassor wazambi aliyechaguliwa mwaka 2008 ambaye ndiye anamaliza mwaka huu, aidha Singu Sandu alikuwa Diwani wa kata ya Itonjanda miaka zaidi ya kumi iliyopita baada ya hapo amegombea udiwani mara mbili na kuangushwa na Mh Juma Makalla ambaye ni Diwani wa kata hiyo hadi sasa japo kata hiyo imegawanywa na kuzaa kata ya Ifucha. Taarifa mbaya zaidi huyo anaedaiwa kuhama hajahama leo ameshagombea ukatibu wa Chadema wa kata na kushindwa kwenye kura zaidi ya miezi minne iliyopita.Na kesho asubuhi atafanya press conference kukanusha hayo Golden Eagle Hotel saa tano asubuhi akitokea sikonge.
HITIMISHO; kwa taarifa hii naomba niwafahamishe wapenzi wote wa Chadema popote mlipo taarifa mnayoijadili imetolewa ili kuwapa matumaini ya kwenda Peponi bila Kifo! Period
 
Nape usishtushwe bana.. huyo nisawa na sisimizi kwenye mbuga ya serengeti.. hahahahahah
Familia ya wanamageuzi bana yani hapo nayo eti hii ni habari... ahahahahaha
 
Back
Top Bottom