Mkuu
Maundumula ni kweli inaonekana kama used lakini
unaonaje kama wangeingia pale na RAV4 ama gari zingine ndogo na kuwaambia wananchi kwamba sisi tukiingia madarakani tutatumia magari kama haya. Najua huenda wananchi wangepandisha munkari na kuyashambulia Ma V8 ya serikali lakini ujumbe ungekuwa sawia. Sasa wewe unasema unapinga matumizi ya magari ya kifahari ilihali wewe unayo?
Mkuu unaikumbuka ile Suzuki ESCUDO nyeusi ya CDM iliyokuwa pale makao makuu; naona siku hizi imetelekezwa Kimara watu wanatumia ma V8 (GX na VX), ESCUDO ya nini tena!!!