Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,880
- 4,883
Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa Katibu mtendaji wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)
Mamdepo ambaye ndiye msajili wa kanisa Anglikana Tanzania ananingia katika historia ya kuwa msajil na pia mchungaji.
Hongera sana Rev Adv George Mandepo
Mamdepo ambaye ndiye msajili wa kanisa Anglikana Tanzania ananingia katika historia ya kuwa msajil na pia mchungaji.
Hongera sana Rev Adv George Mandepo