mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Taarifa nilizozipata hivi punde Mwenyekiti wa chama cha soka Manispaa ya Temeke jijini Dsm, Bwana PETER STEPHEN MHINZI ametenguliwa uraia wake wa Tanzania baada ya uchunguzi wa kina kubaini kuwa wazazi wake hawakuwa Watanzania ingawa yeye binafsi alizaliwa nchini Tanzania.
kwa mujibu wa kifungu cha 5(2) (a) cha sheria ya uraia No. 6,1995.
Huyu Jamaa alilalamikiwa sana kwani Uraia wake ulikuwa na Utata sana.....Jibu limepatikana.
kwa mujibu wa kifungu cha 5(2) (a) cha sheria ya uraia No. 6,1995.
Huyu Jamaa alilalamikiwa sana kwani Uraia wake ulikuwa na Utata sana.....Jibu limepatikana.