Mwenyekiti wa kambi ya Chokaa auawa

Mwenyekiti wa kambi ya Chokaa auawa

AIRE MAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
221
Reaction score
65
Mwenyekiti wa kijiji cha Kambi ya Chokaa ameuawa na watu wasiojulikana kisa kikiwa ugomvi wa madaraka na mwenzake.
 
Hi nchi ya ajabu sna hata kwenye madaraka madogo km hyo wanachnjana.ccm inakotupeleka siko kabisa
 
Hawa shiling isimama mmoja kashnd kwenye kura ya maoni ccm mwngne alishndwa.yule aliyeshndw jina likarudishwa kuwa mshnd
 
Hzi kura za maoni na upendeleo ndyo iliyosababisha haya.ccm always ni walagai na wauaji wakubwa wa nchi hii.
 
Hi nchi ya ajabu sna hata kwenye madaraka madogo km hyo wanachnjana.ccm inakotupeleka siko kabisa
Madaraka madogo?! Ardhi yote ya kijiji iko chini yake, hata huko kuna ufisadi japo haufikii huo wa kina Muhongo na vitalu vya gesi.
 
ilikuwaje mkuu?embu weka sawa tuelewe

nikwamba kamanda ndani ya mchakato wa kumtafta mgombea uenyekiti wa kijiji ccm kwa ccm kuna mgombea ambaye alikuwa anakubalika na wananchi ccm kama kawaida yao wakamwengua wakamweka wakwao yule aliyewekwa na ccm akawa na wapambe ambao wanamuunga mkono wananchi wakakasirika wakaua mmoja na ameshazikwa jana,sasa kama hii ni hoja mpya atueleze vizuri,
 
Ndyo hyo mkuu.sina lakuongeza umemaliza mkuu wangu
 
Back
Top Bottom