Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru

habari za uhakika kutoka kata za nkome,katoma,nzera na lwezera zinasema wananchi wapambe wa msukuma wamefanya vurugu kubwa hadi mtu mmoja kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya kwa kutaka kumnyang'anya siraha polisi.vurugu hizo zimesababisha askari wa ffu kutoka geita kwenda huko umbali wa km 65 kutoka geita mjini.
Source katibu wa ccm kata ya nkome.
bao la kisigino makamanda wa chadema maake hapo tayari ccm wameshagawanyika
 
Back
Top Bottom