Kwa katiba ya Zanzibar hapati hata usheha labda Maalim ajitoeHuyu anachukuwa fomu akijua hatoshinda, lkn ana nafasi ya umamluki SMZ, atapewa uwaziri
Yale madeni yake kule benki kuu bado hayajaisha?
Seif mwaka wa 20 na huu anagombea yeye tu na anashindwa 😃Safari hii atafute tu kazi nyingine ya kufanya. Awamu hii, wenye Visiwa vyao (Team Maalim Seif) kupitia ACT Wazalendo, hawatokubali tena kuwaachia mamluki kuitafuna keki ya Visiwa vyao.
Alikopa kwa ajili ya kupeleka vyuma India ,biashara ilikuwa haiendi vizuriAlikopa benki kuu?!
Seif mwaka wa 20 na huu anagombea yeye tu na anashindwa 😃