Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza ahamia CCM

Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza ahamia CCM

Hivi Lugumi bado yupo tanzania au kesha sepa?
Hahaaha Yaani wewe umeona LUGUMI ndiyo kick ya kutokea, kwa taarifa awe nje ya nchi au awe ametoroka atatafutwa kokote aliko kama atahitajika.Huyu siyo mzee Msoga cha msingi jiandaeni na fisadi wenu Lowassa kuingizwa lupango punde mahakama itakapokamilika.Vip mkuu lissu ameisha jihuzuru ubunge.
 
Kamuulize huyu mzee atakwambia jambo fulani juu ya cdmView attachment 338555
12974341_1529901007316417_4973607169544179570_n.jpg

Hata hawa walitabiri kifo cha CHADEMA
 
Hahaaha Yaani wewe umeona LUGUMI ndiyo kick ya kutokea, kwa taarifa awe nje ya nchi au awe ametoroka atatafutwa kokote aliko kama atahitajika.Huyu siyo mzee Msoga cha msingi jiandaeni na fisadi wenu lowassa kuingizwa lupango punde mahakama itakapokamilika.Vip mkuu lissu ameisha jihuzuru ubunge.
Kweli nimeamini uli uwe mwanaCCM nilazima ujiondoe 60% ya akili yako
 
Sie tukadhani kuteuliwa yule katibu mkuu kutoka huko kutaimarisha chama kumbe ndio kwanza kunakibomoa...
 
Nilipokuwa umri fulani nilikuwa askari wa kikosi cha kuvamia vishughuli mtaani. Tulikuwa tunaendeshwa na harufu ya msosi, yaani pahala panaponukia tutahamia na kushinda huko the whole day. Nahisi mwenyekiti na wengine wengi waliopo kwenye siasa waliruka hatua hii.
 
sina habari na CCM mpaka naingia kaburini kwangu CCM zilipendwa na zimekataliwa wezi wa kura mpaka mengineyo
wacha kujindanganya...CCM ni muhimu sana kwa chadema na ukawa...mtapata wapi wagombea?...weka akiba ya maneno dogo...!
 
Nilipokuwa umri fulani nilikuwa askari wa kikosi cha kuvamia vishughuli mtaani. Tulikuwa tunaendeshwa na harufu ya msosi, yaani pahala panaponukia tutahamia na kushinda huko the whole day. Nahisi mwenyekiti na wengine wengi waliopo kwenye siasa waliruka hatua hii.
Luwasa na Sumaye unawatoaje kwenye kufuata harufu ya msosi?...wacha kujikuna...!
 
Mkuu unamaanisha hata Luwasa na timu yake walihama sababu ya kuganga njaa?..weka akiba ya maneno.
Lowassa alihamia cdm ili apate nafasi ya kugombea urais baada ya kukatwa ccm. Je huyo jamaa, japo ni haki yake kwani hajavunja sheria yoyote ya nchi.
 
Sasa baada ya kuhamia huko umekuta kuna nini kipya?kwa ninavyojua kabla hajawa mwana chadema lazima alikuwa ccm
 
Lowassa alihamia cdm ili apate nafasi ya kugombea urais baada ya kukatwa ccm. Je huyo jamaa, japo ni haki yake kwani hajavunja sheria yoyote ya nchi.

Choo kikiahamia kitandani chumba kitanuka...Dr.Slaa,1.9.2015....mtu mwadilifu huondoka kwenye ufisadi.
 
Choo kikiahamia kitandani chumba kitanuka...Dr.Slaa,1.9.2015....mtu mwadilifu huondoka kwenye ufisadi.

Mtu muadilifu hawezi kumkimbia fisadi bali hupambana na fisadi. Kama mfano wako una maana unaonaje Magufuli akakimbilia Australia maana nchi ina mafisadi wa kutosha?
 
Kweli mkuu mafidi mbele kwa mbele, aka Msigwa na Silinde hahaahaha CHADEMA bhana Mkuu vipi umefika wapi na kampeni yako ya kataa Magufuli njaa ndani ya bunge.
Ona sasa hata kuandika tayari ushaanza kushindwa sababu ya kuiombea mabaya cdm,....MAFIDI ndiyo mdudu gani?wacha kuiongelea cdm maneno machafu ukirudia utashindwa kabisa kuandika
 
Ona sasa hata kuandika tayari ushaanza kushindwa sababu ya kuiombea mabaya cdm,....MAFIDI ndiyo mdudu gani?wacha kuiongelea cdm maneno machafu ukirudia utashindwa kabisa kuandika
Massage sent,UKAWA umoja wa katiba ya wahuni wapuuzi,wapiga deal.
 
Back
Top Bottom