Pamoja na kusimamishwa lakini alishiriki kwa 100% kwny kampeni za mwaka 2015 akimnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CDM ndg Martin Kaswahili pamoja na madiwani lakini kwa bahati mbaya wakaangukia pua, huku mdogo wake ambae ni mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2010 Dr Charles Tizeba akifanikiwa kupata ushindi wa kishindo na kuzoa madiwani kata zotYAANI N MAFALA HUMU KWANINNI
JAMAA ANAMWAKA ALISIMIMASHWANAKISUBIRIA NEEMA YA KURUDI....MNAHISI ATAENDA WAPI ACT
Mwache aende kwetu magumashi ila ccm yapo kama LUGUMIAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mwanza, Bw.Adrian Tizeba ahamia CCM na kupokelewa tawi la Lugata, Sengerema, ikiwa ni wiki moja tu tokea avue sare za migambo.
Chanzo: Mwananchi.
Jana niliona magari ya matangazo yakitangaza kua kutakua na mkutano mkubwa sana wa siasa Iringa mjini. Mchungaji Msigwa angehutubia. Mpaka sasa sijaona hata picha moja ya mkutano ikirushwa kwenye wall ya mchungaji Msigwa wakati si kawaida yake kabisa sijui nn kilijiri
Chadema kila mtu kambale...!