Hiki chama kinanini cha kujivunia? Tangu muliue Azimio la Arusha mmebaki kufukuzana na utajili wa haraka haraka.Jamaa mmoja aliniambia siri ya kanisa Katoliki kulazimisha mapadri kuishi katika useja,akasema siku wakiliruhusu mapadri kuoa,mafanikio tunayoyaona kwenye elimu na afya kwa RC yatafutika mara moja,kila mmoja atajali familia yake kwanza badala ya kanisa.Hivyo na CCM baada ya kuvunja Azimio la Arusha piga ua kila mtu anafikilia tumbo lake tu si Katibu mkuu,Mwenyekiti wala Katibu Mwenezi.Hata hizi ziara zisizokoma ni kuangalia rasilimali za watanzania.