Mwenyekiti wa CCM Rorya akamatwa na Meno ya Tembo

Unategemea nini wakati Katibu mkuu WA Chama Chao ndii anaongoza hiyo biashara.? Jamani watanzania tuambiwe vipi tuelewe maovu ya hiki Chama?
 
Hivi hizi habari za kuzusha zitaisha lini?kwanza ccm haina cheo cha mwenyekiti wa jimbo bali kuna mwenyekiti wa wilaya,,hata hivyo mwenyekiti wa wilaya ya rorya anaitwa samweli kiboye a.k.a namba tatu!!!

Unakanusha au unasahihisha?
 
Ndiyo sera yao hawa CCM, Chama kina wenyewe hiki na wenyewe ndo hao wanaopiga madili ya haramu ya nchi, Cc. Lizabon, Thatha, Laki si pesa, Faizafox, nk.
 
Mwenyekiti wa CCM jimbo la Rorya, Mwita Kilaru amekamatwa akiwa na meno ya Tembo..
Hii sasa ni sera ya CCM Katibu Mkuu ndiyo kinara na kama Serikali inataka kukomesha waanze na katibu Mkuu wa CCM.

source: Matukio - RFA

Atakuwa katumwa na Kinana.
 
Mkuu, ukoo wa panya huo, wala sishangai. Kuanzia Baba, mama, watoto, wajukuu, shangazi, babu, bibi, mjomba n.k. wote wezi. Ndio silika yao mkuu!
 
hahhahaaaa hivi kumbe ndio yule aliesema Wachimbaji wadogo waendelee kuchimba madini kwenye lile eneo. you mean ilikua ni namna tu ya kuwafanya wachimbe madini halafu yeye akaue Tembo? hahahahaaaaaaa CCM!!! Sina hamu nao
Kudadadadek! nimemsikia juzi akiongea kwenye mkutano huko Rorya akijitapa kwamba wao ni chama dola na yeye ndio bosi wao huko Rorya! kumbe tayari alishapaki shehena!!? Period...
 
Hata mbunge wa Rorya alishatangaza jukwaani kwamba mafanikio yake ya kibiashara yametokana na biashara haramu za magendo mpakani pamoja na gongo & bangi. Unategemea nini kwa wafuasi wake?
 
Mwenyekiti wa CCM jimbo la Rorya, Mwita Kilaru amekamatwa akiwa na meno ya Tembo..
Hii sasa ni sera ya CCM Katibu Mkuu ndiyo kinara na kama Serikali inataka kukomesha waanze na katibu Mkuu wa CCM.

source: Matukio - RFA
Hivi Rorya kuna Tembo au kayafuata Serengeti ama Lindi?
 
Mwenyekiti wa CCM jimbo la Rorya, Mwita Kilaru amekamatwa akiwa na meno ya Tembo..
Hii sasa ni sera ya CCM Katibu Mkuu ndiyo kinara na kama Serikali inataka kukomesha waanze na katibu Mkuu wa CCM.

source: Matukio - RFA
Mkuu Crashwise mbona unawafuatafuata CCM wakati wakiwa kwenye hatua za mwisho za kutekeleza ilani yao ya Uchaguzi?
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa CCM jimbo la Rorya, Mwita Kilaru amekamatwa akiwa na meno ya Tembo..
Hii sasa ni sera ya CCM Katibu Mkuu ndiyo kinara na kama Serikali inataka kukomesha waanze na katibu Mkuu wa CCM.

source: Matukio - RFA

CCM ni ukoo wa panya, asiyekuwa mwizi hapamfai-ama wamlishe sumu ili afe au akubali kuwa kimya wakati wenzake wakiiba na kuharibu.

Vv
 
Back
Top Bottom