Mwenyekiti wa CCM Rorya akamatwa na Meno ya Tembo

Hiki chama haki ya nani vile kitatumaliza! Hivi tumeshindwa kufanya maamuzi ya kukikataa? Au ndio hayo tunayoambiwa kuwa tumelishwa sijui Limbwata sijui nini vile?
 
Ripoti ya CAG yote kuhusu Escrow Tegeta ipo gazeti la Jamhuri la leo tar 25/11/14.

Get your own copy.
 
Kudadadadek! nimemsikia juzi akiongea kwenye mkutano huko Rorya akijitapa kwamba wao ni chama dola na yeye ndio bosi wao huko Rorya! kumbe tayari alishapaki shehena!!? Period...
 
Hiki chama kinanini cha kujivunia? Tangu muliue Azimio la Arusha mmebaki kufukuzana na utajili wa haraka haraka.Jamaa mmoja aliniambia siri ya kanisa Katoliki kulazimisha mapadri kuishi katika useja,akasema siku wakiliruhusu mapadri kuoa,mafanikio tunayoyaona kwenye elimu na afya kwa RC yatafutika mara moja,kila mmoja atajali familia yake kwanza badala ya kanisa.Hivyo na CCM baada ya kuvunja Azimio la Arusha piga ua kila mtu anafikilia tumbo lake tu si Katibu mkuu,Mwenyekiti wala Katibu Mwenezi.Hata hizi ziara zisizokoma ni kuangalia rasilimali za watanzania.
 
wakati JK anaingia anaingia madarakani walikuwepo tembo zaidi ya 150,000 na leo anakaribia kutoka wapo tembo wasiozidi 50,000

meli ya katibu mkuu wa CCM kinana imekamatwa na huko china ikiwa na ndovu yenye thamani zaidi ya milioni 700. Kwa kifupi sera ya CCM kuangamiza tembo wote

Ndege ya Rais wa China ilipakia ndovu. Mwananchi tuchukue harua tuwakatae hawa CCM
 
Tuzidi kuomba mungu maombi yamesha kubaliwa 99% bdo sekunde tu ccm kuwake moto na ndio ukombozi utakamilika
 
Mwenyekiti wa ccm jimbo la rorya Mwita kilaru amekamatwa akiwa na meno ya tembo..
hii sasa ni sera ya CCM katibu mkuu ndiyo kinara na kama serikali inataka kukomesha waanze na katibu mkuu wa ccm..

source: Matukio - RFA

Hivi hizi habari za kuzusha zitaisha lini?kwanza ccm haina cheo cha mwenyekiti wa jimbo bali kuna mwenyekiti wa wilaya,,hata hivyo mwenyekiti wa wilaya ya rorya anaitwa samweli kiboye a.k.a namba tatu!!!
 
Mkuu hakuna Mwenyekiti wa Jimbo la Rorya kuna mwkt wa wilaya ya rorya na pia haitwi Mwita Kilaru,,kajipange uje tena
 
Hivi hizi habari za kuzusha zitaisha lini?kwanza ccm haina cheo cha mwenyekiti wa jimbo bali kuna mwenyekiti wa wilaya,,hata hivyo mwenyekiti wa wilaya ya rorya anaitwa samweli kiboye a.k.a namba tatu!!!

kama RFA hawaja tangaza mwenyekiti wa ccm kukamatwa na meno mawili ya tembo mod nipigeni ban...
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom