Mwenyekiti wa CCM Rorya akamatwa na Meno ya Tembo

ccm washazoea ujambazi uwizi deals zte chafu wanafanya magamba
 
kuna haja sasa ya wananchi kuchukua hatua dhidi ya majangiri , mifumo iliyopo imeshindwa .
 
ccm ni wezi, majangili, maharamia.
Anaewatetea anafaidika na matendo yao
 
Mwenyekiti wa CCM jimbo la Rorya, Mwita Kilaru amekamatwa akiwa na meno ya Tembo..
Hii sasa ni sera ya CCM Katibu Mkuu ndiyo kinara na kama Serikali inataka kukomesha waanze na katibu Mkuu wa CCM.

source: Matukio - RFA

Mzee Mwinyi alishasema, na nanukuu..." Mtoto aliyebebwa Mgongoni na Mzazi/Mlezi wake, huwa anamwangalia kisogoni wanapotembea kwenda mbele....yaani mtoto anaenda kuendana na matendo ya mkubwa wake aliyemtangulia mbele"

Hawa Viongozi wa CCM kukamatwa na Nyara, Meno ya Tembo, Madawa ya Kulevya nk...wanaangalia kisogo cha aliye mbele yao, Wakuu wao, Kinana et al...
 
Utasikia MTU picha pls kwikwi
Mpwa nae akalewapi wenzie wanachota boti
 
Mwenyekiti wa ccm wilaya ya rorya amekamatwa na kiasi kikubwa cha meno ya tembo mchana huu.
Chanzo cha taarifa hizo ni rfa
 
Hivi huyo alitumwa na sera za CCM kuiba hayo meno? au ni ubinafsi wake? hayo ndo mambo ya padri kazini lawana kwa ukatoliki, shekhe mwizi lawana kwa uislamu. Jifunze kutofautisha taasisi na mtu binafsi, sio sera ya chama chetu cha mapinduzi kuiba, ingawa wanachama na viongozi wake ni wezi. Ni sawa pia kwa upande wa chadema, sio sera ya chadema kuwa malaya, lakini viongozi na wafuasi wake malaya, mfano mbowe nad slaa, je hapa utalaumu chadema kwa umalaya au watu binafsi?
 
Hata wewe uko hapa kutetea CCM ili kesho upata nafasi ya kuiba kama wazee wako wanavyofanya leo,CCM ya leo wote ni walewale ukoo wa panya!!
 
Back
Top Bottom