Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Wakuu
Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe.
Kupitia video Mwenyekiti alisikika akiwashawishi Wapiga kura hao kumpigia Kuro Mbunge aliye tangulia dhidi ya wabunge wengine walio chukua form idadi ikiwa 10.
Nae katibu wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Machame kaskazini ndugu Sila kupitia barua yakutoa taarifa ya kikao chaupigaji kura kwa wajumbe kinacho fanyika tarehee 4 aliandika “Ili tuweze kumrudisha Mbunge Saashisha Mafuwe ni muhimu wajumbe kufika kwa wingi kwenye kikao hicho siku ya tarehe 4”