Mwenyekiti wa bodaboda Shinyanga ajinyonga.

Jirani yetu bonge la baba alijinyonga na waya wa simu ni zile waya za simu za ttcl mara nyingi watu huiba kuanikia nguo ndani ina chuma fulani haikatiki kirahisi wandugu tusijichanganye
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Waendesha Pikipiki maarufu kama bodaboda manispaa ya Shinyanga Jacob Paul (36) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa simu chumbani kwake katika mtaa wa Mwinamila kata ya Ngokolo katika manispaa ya Shinyanga.

Tupe jina lake la tatu, huenda alihamia Shy toka sehemu nyingine, je chanzo cha kifo hakijatajwa?
 
NEWS ALERT!
Mwenyekiti wa Chama Cha Waendesha Pikipiki maarufu kama bodaboda manispaa ya Shinyanga Jacob Paul (36) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa simu chumbani kwake katika mtaa wa Mwinamila kata ya Ngokolo katika manispaa ya Shinyanga.

Tukio hilo limetokea leo Jumamosi June 10,2017 mchana.
Tukio hili limetokea siku tano tu baada ya kutokea vurugu kati ya waendesha bodaboda na polisi baada ya mwendesha bodaboda mwenzao kufariki baada ya kukamatwa na askari wa usalama barabarani.
7235266998375b47175f40650970800b.jpg
What if it is a staged thing and that he was Killed?
 
Mtoa mada huo ni uchochezi kuunganisha kifo chake na mgogoro wa waendesha bodaboda na Polisi traffic tukio lilitokea siku tano kabla ya kifo.
 
Kwanini uite wenzie wapumbavu kwenye mijadala au unafikiri kutukana ndio kunajenga tumia lugha za busara
 
Mtoa mada huo ni uchochezi kuunganisha kifo chake na mgogoro wa waendesha bodaboda na Polisi traffic tukio lilitokea siku tano kabla ya kifo.
Njoo na facts ili kuweka sawa hoja yako
 
Back
Top Bottom