Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!

Kwani hajui kwamba wa oman ndio waliotawala zanzibar kwa muda mrefu zaidi .kwa hiyo akitawala mu oman itakua ni muendelezo tu sio tatizo hata kidogo .obama anatoka kenya j .mbona wamarekani hawakumkataa .wewe mtoa uzi ni kitukuu cha familia ya vilaza
...zanzibar ilikuwa na tawala zake kabla ya ukoloni, kama ilivyokuwa ktk sehemu zote za afrika( kumbuka, zanzibar ni kipande cha aafrica)...wageni ,wote wakiwemo wa oman hawajatawala kwa kipindi kirefu kupita wenyeji wa asili wa zanzibar..waliwakuta, wakawatawala, wakatolewa kwenye utawala, na sasa wanashirikishwa(kiungwana) kutawala
 
Raisi wa Zanzibar pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yaliyotokea huko Zanzibar miaka ya 60' , sasa kwa wale mnaotaka nusu Mwarabu Seifu wa CUF awe raisi wa Zanzibar, Je vipi kuhusu hicho cheo? Na yeye ataitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi?
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika Januari 1964, na ndipo likaundwa Baraza la Mapinduzi, na kuundwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo rais wa Zanzibar ndio Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!.

Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Zanzibar baada ya Mapinduzi ulifanyika mwaka 1975, kuanzia hapo, Zanzibar ilitawaliwa na seikali ya kidemokrasia ili jina la Serikali ya Mapinduzi, lilibaki kama jina tuu, na Baraza la Mawaziri la Zanzibar, liliendelea kuitwa Baraza la Mapinduzi jina tuu, ambao rais za Zanzibar, aliendelea kuitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi jina tuu!.

Hivyo mpaka leo mpaka kesho, serikali yoyote iliyoko madarakani Zanzibar ni jina lake ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hata bila SUK, kama CUF ingeshinda, then ingeunda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, na Maalim Seif ndio angekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Hata sasa ndani ya SUK, wajumbe wa CUF walioko ndani ya Baraza la Mawaziri la Zanzibar ni wajumbe wa Baraza la Mapinduzi. Hivyo kama Maalim Seif ameshinda uchaguzi uliofutwa, yeye ndiye atakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Hakuna kipengele chochote kinachozungumzia asili ya Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuwa eti kwa kuwa waliopinduliwa ni Waarabu, then Mtu mwenye asili ya Mwarabu, haruhusiwi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!, hata CCM ikimsimamisha mtu mwenye asili ya Kihindi kama Harun Suleiman, then Harun Suleiman ndie angekuwa Mwenyekiti wa BLM!.

Ubaguzi wa aina yoyote, haukubaliki Tanzania, ambapo pia haikubaliki Zanzibar ambayo ni sehemu ya JMT!.

Happy New Year!.

Pasco
 
Ubaguzi wa aina yoyote, haukubaliki Tanzania, ambapo pia haikubaliki Zanzibar ambayo ni sehemu ya JMT!.
Zanzibar ni himaya ya watu weusi, rangi iliyotiliwa mkazo kuliko zote kwenye bendera ni nyeusi.

330px-Flag_of_Zanzibar.svg.png
 
Kwani hajui kwamba wa oman ndio waliotawala zanzibar kwa muda mrefu zaidi .kwa hiyo akitawala mu oman itakua ni muendelezo tu

Ni ujuha, kutokujua au ushabiki wa kindengereko tu wa kutoijua Historia ya Zanzibar. Kati ya watawala waliitawala Zanzibar kwa kipindi kirefu zaidi ni WARENO na wala si wa Oman. Wa Oman walikuja Zanzibar baada ya kwenda kuombwa kuja kuwasaidia Wazanzibari kuwaondoa watawala dhalimu waliokuwa adui mkubwa wa maadili,itikadi, imani na silka za Mzanzibari
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika Januari 1964, na ndipo likaundwa Baraza la Mapinduzi, na kuundwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo rais wa Zanzibar ndio Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!.

Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Zanzibar baada ya Mapinduzi ulifanyika mwaka 1975, kuanzia hapo, Zanzibar ilitawaliwa na seikali ya kidemokrasia ili jina la Serikali ya Mapinduzi, lilibaki kama jina tuu, na Baraza la Mawaziri la Zanzibar, liliendelea kuitwa Baraza la Mapinduzi jina tuu, ambao rais za Zanzibar, aliendelea kuitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi jina tuu!.

Hivyo mpaka leo mpaka kesho, serikali yoyote iliyoko madarakani Zanzibar ni jina lake ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hata bila SUK, kama CUF ingeshinda, then ingeunda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, na Maalim Seif ndio angekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Hata sasa ndani ya SUK, wajumbe wa CUF walioko ndani ya Baraza la Mawaziri la Zanzibar ni wajumbe wa Baraza la Mapinduzi. Hivyo kama Maalim Seif ameshinda uchaguzi uliofutwa, yeye ndiye atakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Hakuna kipengele chochote kinachozungumzia asili ya Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuwa eti kwa kuwa waliopinduliwa ni Waarabu, then Mtu mwenye asili ya Mwarabu, haruhusiwi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!, hata CCM ikimsimamisha mtu mwenye asili ya Kihindi kama Harun Suleiman, then Harun Suleiman ndie angekuwa Mwenyekiti wa BLM!.

Ubaguzi wa aina yoyote, haukubaliki Tanzania, ambapo pia haikubaliki Zanzibar ambayo ni sehemu ya JMT!.

Happy New Year!.

Pasco
Zanzibar ni mshirika wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na sio sehemu ya JMT. Wenye mawazo mgando kama hayo ndio mahawara waliomshinikiza kufuta Alhajj Jecha kufuta uchaguzi Zanzibar
 
Kutoka 1860 mpaka 1964 na kutika 1964 mpaka 25/10/2015 .siku ambayo wananchi waliiondoa tena ccm .upi ni muda mrefu
 
Wewe kitukuu cha familia ta vilaza mbona hujatuonyesha hao wareno walitawala kuanzia mwaka gani mpaka mwaka gani?
 
Bendera kwani ndio nini,?.
Bendera ndio kielelezo cha utambulisho na utashi wa Taifa.

Bendera yetu inatambulisha - na shuleni tumefundiswa - kwamba rangi zile zinatamka hili eneo ni himaya ya watu weusi!

Mtu mwekundu, mweupe, zambarau, mwarabu singa singa na chotara hana hadhi kamili ya ukazi katika nchi hii, kwa mujibu wa bendera yetu.

330px-Flag_of_Zanzibar.svg.png
 
Mbona wewe nakujua ulikua mweusi ila unatumia vidonge vya kujichubua nini lengo lako la kujichubua? Ili uwe mweupe .inamaana wewe hata yule abdalla posi waziri waa magufuli unambagua .unaweza ukamwambia dk salim ahmed salim huu upuuzi wako .au mh haruni ali sleman kule zanzibar .amir jamal na zakia megji unawajua .manji mbona diwanibwa ccm .
 
Back
Top Bottom