Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Raisi wa Zanzibar pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yaliyotokea huko Zanzibar miaka ya 60' , sasa kwa wale mnaotaka nusu Mwarabu Seifu wa CUF awe raisi wa Zanzibar, Je vipi kuhusu hicho cheo? Na yeye ataitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi?
 
Pumbavvv andowa ubaguzi Wako kichwa cha samaki
 
Raisi wa Zanzibar pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yaliyotokea huko Zanzibar miaka ya 60' , sasa kwa wale mnaotaka nusu Mwarabu Seifu wa CUF awe raisi wa Zanzibar, Je vipi kuhusu hicho cheo? Na yeye ataitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi?
Huu ni ubaguzi mbaya kabisa na haupaswi kuvumiliwa na mtanzania yeyote anayeitakia mema nchi yetu, mods ondoeni huu Uzi wa kuwatenganisha wazanzibari, na huyu jamaa apigwe ban
 
Kwani hajui kwamba wa oman ndio waliotawala zanzibar kwa muda mrefu zaidi .kwa hiyo akitawala mu oman itakua ni muendelezo tu sio tatizo hata kidogo .obama anatoka kenya j .mbona wamarekani hawakumkataa .wewe mtoa uzi ni kitukuu cha familia ya vilaza
 
Swali langu ni kwamba, Seifu ataitwa pia Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi?
 
Maalim Seif aidha awe Mwarabu ama Mchina, ikulu inamhusu. Wazanzibar wanamhitaji yeye na si Nkuruzinza wa Unguja.
 
Kwani waliopindua znz walikua ni ccm.walikua ni wanzibari chini ya afro shirazi party .leo wengi hawapo .mwenywkiti wa baraza ni cheo tu cha raisi abaechaguliwa .mapinduzi yaliisha zamani .huku bara raisi magufuli anaitwa amiri jeshi mkuu .kule anaitwa mwenyekiti wa baraza hilo .hata zanzibar angeshinda mtu wa chadema bado atakua mwenyekiti wa hilo baraza .ndugu tuko katika mfumo wa vyama vingi
 
Kiongozi yoyote ataeongoza atakua mwenyekiti, kwa sababu haraza la mapinduzi na chama cha mapinduzi ni vitu viwili tofauti
 
Kwani waliopindua znz walikua ni ccm.walikua ni wanzibari chini ya afro shirazi party .leo wengi hawapo .mwenywkiti wa baraza ni cheo tu cha raisi abaechaguliwa .mapinduzi yaliisha zamani .huku bara raisi magufuli anaitwa amiri jeshi mkuu .kule anaitwa mwenyekiti wa baraza hilo .hata zanzibar angeshinda mtu wa chadema bado atakua mwenyekiti wa hilo baraza .ndugu tuko katika mfumo wa vyama vingi

Kwa hiyo Maalimu Seifu kama angeshinda angeitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yaliyomtoa Mwarabu kwa kumwaga Damu?
 
Kwani kuna sifa zilizojificha/kufichwa zaidi ya hiyo ya kuwa Uraisi wa Zanzibar??

Raisi wa Zanzibari pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yaliyompindua Mwarabu kwa nguvu na kumwaga damu!
 
Kwa hiyo Maalimu Seifu kama angeshinda angeitwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yaliyomtoa Mwarabu kwa kumwaga Damu?

Mkuu usingetia elements za kibaguzi hoja yako ni nzito na inafikirisha. BARAZA LA MAPINDUZI, CHAMA CHA MAPINDUZI. Kuna hoja hapa.
 
Hoja uako haina mashiko hata chembe.
As far as Maalim Seif ni Mzanzibari na ndiyo maana ZEC ikamthibitisha kugombea nafasi hiyo ya juu kabisa huko Zanzibar.
Na as far as uchaguzi huo ukathibitishwa na waangalizi wote wa ndani ya nchi na nje ya nchi kuwa ulikuwa huru na haki.
Na as far as wasimamizi wa majimbo yote ya huko Zanxibar walitoa vyeti kwa washindi wa uwakilishi kwa majimbo yote 54 ya huko Zanzibar.
Na as far as matokeo ya Urais wa Zanzibar yalibandikwa kwenye vituo vya kupigia kura na kuonyesha kuwa Maalim Seif alimshinda Dr Skein kwa tofauti ya kura zaidi ya 25,000 hakuna solution nyingine yoyote inayoweza kuiacha Zanzibar salama na yenye utulivu, zaidi ya kumtangaza Maalim Seif kuwa ndiye Rais mpya wa visiwa hivyo vya Zanzibar.
 
Kwanza hujui kitu waliopinduliwa kiserekali sio waarabu zanzibar ilishapata uhuru wake kabla ya hiyo tar 12/1/64 .kilichofanyika ni mauaji (genocide crime )kama vile ya ruanda tu .kitu ambacho unaonekana unakifurahia sana .sijui wewe ni dini gani?mungu hajahalalisha kuua watu kwa ajili ya utawala wa kidunia .unaonesha ni kama wale ccm zanz wanaipenda sana ardhi kuliko haki.ardhi hii itakwenda kuwabana muda si mrefu .tafakari angalau kidogo upande mwengine wa hii dunia
 
Back
Top Bottom