johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,030
- 142,090
Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la michezo mzee Jamal Rwambo amesema timu ya taifa ni yetu sote na kwa maana hiyo siasa za vyama hazipaswi kupewa nafasi.
Amesisitiza kuwa Taifa Stars inapaswa kuwa ni chombo cha kuwaleta watanzania pamoja badala ya kuwa chanzo cha utengano.
Rwambo anasema watu kama Prof Jay walipaswa kuwemo katika kamati ya uhamasishaji lakini hawamo.
Yote kwa yote mzee Rwambo amesema Taifa Stars itashinda mechi ya leo kwa magoli mengi tu na hilo halina mjadala.
Source Tamasha la michezo ITV
Maendeleo hayana vyama!