Mwenyekiti mstaafu wa BMT mzee Jamal Rwambo asema mpira hautaki Siasa ashangaa Prof Jay kutokuwemo kamati ya hamasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la michezo mzee Jamal Rwambo amesema timu ya taifa ni yetu sote na kwa maana hiyo siasa za vyama hazipaswi kupewa nafasi.
Amesisitiza kuwa Taifa Stars inapaswa kuwa ni chombo cha kuwaleta watanzania pamoja badala ya kuwa chanzo cha utengano.

Rwambo anasema watu kama Prof Jay walipaswa kuwemo katika kamati ya uhamasishaji lakini hawamo.

Yote kwa yote mzee Rwambo amesema Taifa Stars itashinda mechi ya leo kwa magoli mengi tu na hilo halina mjadala.

Source Tamasha la michezo ITV

Maendeleo hayana vyama!
 
Huwezi kuwa upande wa timu ya wajinga halafu na wewe usisimamie ujinga. Eti TBC isioneshe bunge laivu kwa kuwa wabunge wa upinzani wataonekana jinsi wanavyowasilisha hoja zao bungeni. Leo ujinga huo huo inawezekana umeleta hoja ya kwamba Prof. Jay na Sugu wakiwemo basi uchadema wao utapanda chati.
 
Mkuu huyo Sugu hajatajwa lakini nimekuelewa!
 
Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la michezo mzee Jamal Rwambo amesema timu ya taifa ni yetu sote na kwa maana hiyo siasa za vyama hazipaswi kupewa nafasi.
Amesisitiza kuwa Taifa Stars inapaswa kuwa ni chombo cha kuwaleta watanzania pamoja badala ya kuwa chanzo cha utengano.

Rwambo anasema watu kama Prof Jay walipaswa kuwemo katika kamati ya uhamasishaji lakini hawamo.

Yote kwa yote mzee Rwambo amesema Taifa Stars itashinda mechi ya leo kwa magoli mengi tu na hilo halina mjadala.

Source Tamasha la michezo ITV

Maendeleo hayana vyama!
Yote haya kisa Makonda. Prof jay ana impact gani mpaka awepo ktk timu? Kina shilole hawakuwepo ktk kamato ila wamejiona wanaweza kuwa na mchango, wakaenda wenyewe. Pia kuna wengine, sasa kama mtu alisubiri apewe kadi ya mualiko shauri yake.
 
Mkuu naona Jamal amekugusa!
 
Yote haya kisa Makonda. Prof jay ana impact gani mpaka awepo ktk timu? Kina shilole hawakuwepo ktk kamato ila wamejiona wanaweza kuwa na mchango, wakaenda wenyewe. Pia kuna wengine, sasa kama mtu alisubiri apewe kadi ya mualiko shauri yake.
Ndiyo maana Timu yetu haifiki popote,kumbuka Mzee alivyotia milioni 50 tu tulipigwa moja huko Lesotho Leo makonda yupo kazini tutafungwa tena sababu ya siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funga hiyo Tanzania ili bashite na genge lake wakose point za mezani. Watu hawajihusishi na lolote kuhusu soka kisha wakiona mpenyo wa kupata sifa za kisiasa wanaleta kimbelembele. Funga hao wanaccm. Na tunaomba Lesotho wapate ushindi wa kishindo.
Akili ya Umaskini inakutesa huna lolote. Kilaza mmoja na Mjinga kama wewe hawezi kufanya Watanzania na akili zao wasihamasike
 
Yote haya kisa Makonda. Prof jay ana impact gani mpaka awepo ktk timu? Kina shilole hawakuwepo ktk kamato ila wamejiona wanaweza kuwa na mchango, wakaenda wenyewe. Pia kuna wengine, sasa kama mtu alisubiri apewe kadi ya mualiko shauri yake.
Makonda hana akili ni mjinga timu ya taifa imeigeuza ya ccm anahusisha ushindi wa timu na ulevi akili yake zero
 
Akili ya Umaskini inakutesa huna lolote. Kilaza mmoja na Mjinga kama wewe hawezi kufanya Watanzania na akili zao wasihamasike

Kwani nimekuzuia ww na mamayako kuhamasika?. Nilochosema hao watia nuksi ni bora hiyo timu ifungwe ili wasijipate sifa wasizostahili. Halafu ukitaka kuhamisika zaidi subiri hiyo timu ikishinda uumpe mkeo Mbwana Samata akae naye guest wiki ili uhamasike vizuri.
 
Kwani hiyo kamati wanasaidiaje hiyo timu kushinda?! Mi naona wanatafuta kiki tu.
Wanaye muhamasisha ni nani?! Imegeuka timu ya ccm, kwanini hao wenye timu wasiende tu huko uwanjani wakashangilie yaishe?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom