Nadhani Kuna tofauti ya kustaafu nakususa!Wastaafu waachwe wapumzike. Angalia mstaafu ndani ya Ccm anavyowachanganya wananchi !!. Nani anapenda kuendelea kuchanganyikiwa ?!
Acheni Gen Z wafanye mambo yao ki wao.
Fikiria jinsi mzee kama Butiku anavyoshindwa kutumia taasisi ya Mwl Nyerere !. Mbowe apumzike.
Ukisoma comments za wengi humu utaelewa kwa nini amekaa pembeni.Nadhani Kuna tofauti ya kustaafu nakususa!
Mbowe ni kama amesusa
Ngoja nimuite mkewe atoe mrejesho alipo LusungoMwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi?
Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini?
Carlos The Jackal