ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #101
mbona sijaona uchaguzi ukifanyika naona matokeo au mimi ndio sielewi
[QUOTELady doctor;8350187]sa si ndo vizuri ukiwa nacked maana ndo tunauona ukweli halisi
nilitaka kuandika sijui mkono ukateleza kidogo unasemaje?
Nataka niende na wewe Mafya kwa siku 7 hivi , aim ukaniondolee mastress zangu .
uko tayari kula :llama: tukiwa huko?
na huko tayari kukutana na :spy:? utakimbia kama uko tayari sema
Mkuu wanacheza ngoma ya kitoto hawa, hawajui wanachokinena wanajisemea tu. Hadi sasa wameshajitangaza "wenyeviti WAPYA" nane...
Hata kukutana na Kifaru niko tayari ili mradi tu, twende ukameng'enyue pesa zangu , namie nimeng'enyue mazigo , baas .
Kuta unajiandaa
Mkuu wanacheza ngoma ya kitoto hawa, hawajui wanachokinena wanajisemea tu. Hadi sasa wameshajitangaza "wenyeviti WAPYA" nane...
ladyfurahiajamani yashakuwa hayo ila tambua kuwa mke wa mtu ni sumu
sitaki kumcheat laaziz wangu M
ladyfurahia
It means after events utakwenda kumuhadithia? Huyo M ? (sijui Mwigulu! hainishughulishi sana kumjua)
That's seasonal Tender, either an indivudual fursa!
Kwani mi ntahamisha "asset" yako ya msingi ?
Mi si namogoa kwa interval , seasonal after seasonal , afu kwa siri sana! Hebu changamka mipesa inaniwasha
Jipange !

hiyo mipesa yako lazima itakuwa na pilipili wallah vilee......... haiwezekani ikuwashe hivihivi!!!!!