ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #81
Ingawa ni Chitchat,nashawishika kuamini kuwa una matatizo ya kisaikolojia dhidi ya wanaume {una hasira nao pasipo sababu}
ladyfurahia.
Ndo maana hamuwezi kamwe kuongoza nyie.. Maana mtakavyokuwa busy kuwekeana visasi vya wivu kwa kuchukuliana lol.. Imagine ladyfurahia ana mahaba na mie kitambo ila anamuogopa Paloma.. Ataanza kumuwekea visa mwenzie mwisho wa siku tifu la nguvu ofisi haikaliki.. :bump2::bump2::bump2::bump2:
Kiongozi yeyote sifa yake ya kwanza ni kutotoa siri za makubaliano .
Kumbuka siri unayoitoa uliapa kutoitoa na laki 5 familia yenu ilinitoza .
Je? Mkikonfamiwa uongozi hapa mtatoboa siri ngapi ? Za members wakati siri yako tu umeitusua ?
Hadi leo watu8 kanigeuza Atm !
Either huoni umeiweka rehani my currently kapo?
Tatizo lijajimenti ni lisema kweli labda !
Wenyeviti 'wapya' wanaongezeka tu.
Wenyeviti 'wapya' wanaongezeka tu.
Haikuwa siri kabisa wala hatukuwekeana mkataba wa kuwa siri
kama ingekuwa siri hili li:mimba:lingekuwa hivi sasa siri iko wapi hapa
tatizo linasema ukweli usiomtupu! Lingesemaga na ukweli mtupu basi!!!!!
Bora "usiomtupu" maana utakua na nguo!
Mtupu si utakua nacked ?
sa si ndo vizuri ukiwa nacked maana ndo tunauona ukweli halisi
Huogopi ?
Sasa mbwai na iwe mbwai !
Maadamu umeshalianika hili! Potelea mbali ukizaa hiyo nakupachika nyingine ! Ambayo itakua sio ya bahati mbaya , kama ya kwanza .
Hilo neno la kwanza ni "siji" ? Ama ulitaka kuandika "sijui" ?@siji ni lugha gani umeniandikia hapo oky yote ni heri
mbona sijaona uchaguzi ukifanyika naona matokeo au mimi ndio sielewi
Then mletamada akiulizwa swali na wanaume hapa majibu yake ya ukaliukali tu , hiyo peke yake ni kigezo ni mjamzito!
Mimba jamani zina mambo mengi .
Ndiyo kusema hata hili wazo kalileta kwa nguvu ya mimba.
So far the matter proceedin are completely void !
Hilo neno la kwanza ni "siji" ? Ama ulitaka kuandika "sijui" ?