Mwenyekiti Mpya wa CC

ina maana hujamuelewa kuwa mnaibiwa kitumbua chenu?
au unataka tukuoneshe kwa mifano sema!!

halafu ladyfurahia unavyosema "kitumbua chenu" una maana gani!!!!!

naomba unitajie wote wanaohusika kwenye umilikaji wa Kitumbua hiki
 
Last edited by a moderator:
bestito mbona umehamaki hivyo nazungumzia kutumbua cha kawaida tu kighani hicho na hao wamiliki siwafahamu bali kuingilia mambo yasiyonihusu ngoja niachie hapo besti uwe na amani na mm ngoja ni:A S 27:
halafu ladyfurahia unavyosema "kitumbua chenu" una maana gani!!!!!

naomba unitajie wote wanaohusika kwenye umilikaji wa Kitumbua hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…