Arudi zake CCM akapige hela na hao majangili wa meno ya NdovuHatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?
Hakuna mtu aliwahi kusema kuwa chadema ni malaika ila kitu pekee kinacho watofautisha chadema na ccm ni kuwa chadema ikotayari kuwawajibisha kama hutojiwajibishwa kwa wale wote wanaoenda kinyuma na maadili/sheria...Si chadema si ccm wote manyanganyanga wote kitu pesa tu eti chadema tetea wananchi danganya toto ww.
Chadema ina wakati mgumu sana nje ya mikoa ya kaskazini
Unajiuza kwa shilling ngapi ile kitu?Hiki chama kinachekesha kweli,kama kiongozi wa kata anakwapua jasho la wananchi,kwanini meya wa manispaa ya moshi asijichukulie chake mapema kwa kujiundia safari fake?
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?
Hivi Meya anweza safiri kutumia fedha za Halmashauri bila ridhaa ya Baraza la madiwani? Una habari kuwa hata Meya akisafiri anatakiwa kuleta taarifa kwa baraza lake? Naamini si fisadi kama waliopita. Kama amealikwa na miji dada hata kama kalipiwa tiketi lazima Baraza lake lijue kuwa kasafiri na kaalikwa.Hiki chama kinachekesha kweli,kama kiongozi wa kata anakwapua jasho la wananchi,kwanini meya wa manispaa ya moshi asijichukulie chake mapema kwa kujiundia safari fake?
Tembelea mikoa ya kusini chadema ina nguvu kubwa acha propaganda kijijini kwangu mwenyekiti ni chadema nilishangaa sana nilipotembelea huko.Chadema ina wakati mgumu sana nje ya mikoa ya kaskazini
Arudi zake CCM akapige hela na hao majangili wa meno ya Ndovu
Chadema ina wakati mgumu sana nje ya mikoa ya kaskazini
Acheni kutuletea taarifa za siasa ambazo hazina kichwa wala miguu humu ndani,hebu tambueni kwamba humu Jamvini sio mahali pa kuonyesha hisia zenu za kisiasa,ni mahali pa kujadili hoja za kitaifa zenye mwelekeo wa kuleta mapinduzi kwa Tanzania.Acheni upumbafu Muraaa,Thathiga mbane amang'ana ghayo!!!!!!!!!!!
Hatimaye mwenyekiti wa
CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia
wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa
CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya
kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado
atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?