Mwenyekiti CHADEMA kata ya Kivule abwaga manyanga

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?
 
Kuwa kiongozi chadema siyo kwamba wewe ni malaika, cha msingi sera ya chadema ni kumwajibisha mtu pale anapokiuka taratibu. Shukrani kwa wananchi walioamua kumuwajibisha huyo fisadi. Viva chadema
 
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?
Arudi zake CCM akapige hela na hao majangili wa meno ya Ndovu
 
Hv anafikiri angechukua fedha na watu wawe kimya kweli!
Nyakati hii si miaka ya ccm,hapo inatakiwa pesa alipe na aondoke arudi zake kwa majambazi wenzie!

Hana adabu kweli!
 
Si chadema si ccm wote manyanganyanga wote kitu pesa tu eti chadema tetea wananchi danganya toto ww.
Hakuna mtu aliwahi kusema kuwa chadema ni malaika ila kitu pekee kinacho watofautisha chadema na ccm ni kuwa chadema ikotayari kuwawajibisha kama hutojiwajibishwa kwa wale wote wanaoenda kinyuma na maadili/sheria...
 
hakuna binadam ambaye ni malaika kila mtu anamapungufu yake, tunacholia nacho kila siku ni kuwajibishwa kwa mafisadi kitu ambacho ccm hawakiwezi..tunashukuru Chadema kwa kutowaonea aibu mafisadi..!!!
 
Hiki chama kinachekesha kweli,kama kiongozi wa kata anakwapua jasho la wananchi,kwanini meya wa manispaa ya moshi asijichukulie chake mapema kwa kujiundia safari fake?
 
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?

Ndivyo tunavyotaka .... uwajibikaji kwanza chama baadaye
 
Hiki chama kinachekesha kweli,kama kiongozi wa kata anakwapua jasho la wananchi,kwanini meya wa manispaa ya moshi asijichukulie chake mapema kwa kujiundia safari fake?
Hivi Meya anweza safiri kutumia fedha za Halmashauri bila ridhaa ya Baraza la madiwani? Una habari kuwa hata Meya akisafiri anatakiwa kuleta taarifa kwa baraza lake? Naamini si fisadi kama waliopita. Kama amealikwa na miji dada hata kama kalipiwa tiketi lazima Baraza lake lijue kuwa kasafiri na kaalikwa.
 
Acheni kutuletea taarifa za siasa ambazo hazina kichwa wala miguu humu ndani,hebu tambueni kwamba humu Jamvini sio mahali pa kuonyesha hisia zenu za kisiasa,ni mahali pa kujadili hoja za kitaifa zenye mwelekeo wa kuleta mapinduzi kwa Tanzania.Acheni upumbafu Muraaa,Thathiga mbane amang'ana ghayo!!!!!!!!!!!
 
Heee huyu jamaa vipi,mbona hiyo lugha nayoongea ni tofauti kabisa na ID yake??!!! au ndo mambo ya JF?hayo maneno makali kweli na hapo alipofikia nadhan kama huyu jamaa angelikuwa karibu angekuwa tayari amekula panga!!!!!!!!!!
 
Kwenye kundi la mamba kenge hawakosekani
Hatimaye mwenyekiti wa
CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia
wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa
CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya
kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado
atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom