Asango
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 234
- 24
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kuandaa na kufanikisha mkutano wa hadhara, pamoja na kujiuzulu bado atadaiwa fedha hizo.Hadi sasa hajarejesha fedha hizo.
Namna hii tutafika kweli?
Namna hii tutafika kweli?