Juliana shonza, mtela mwampamba grey son nyakarungu, Habib change. Poleni kwa kubalehe kabla ya muda
Kama ambavyo Zitto alihongwa na CCM kuvuruga CHADEMA? hahahaaaaaaaaaaaaaLIMBU kahongwa na Chadema kukivuruga chama cha wazalendo. Akafie mbali jamaa huyu. Kila la heri wanaACT pia jiandaeni kumpokea jembe Lowassa na Zitto.
chama hicho kilishatabiriwa kufariki kabla hata ya kufika mei 2014 . chama kimejaa mamluki na mapandikizi kibao. kuna mamluki wa ccm , chadema na cuf, kila mamluki anafanya kazi ya waliomtuma kuhakikisha chama hicho cha ZZK kinafariki
Tena Kikundi cha Kufa na Kuzikana....hakikufikia level ya kuitwa chama kilikuwa bado kwenye steji ya KIKUNDI.
Hiyo kwenye red ni utumbo gani? wa kuku au wa bata..........au kichwani kwako ndipo ulipo utumbo wa bata.nmeamin ACT sio saccos ya mtu natangaza rasmi kuisaka kad ya ACT TANZANIA npo kurasin mwenye kuweza nielekeza ofc ilipo karb anisaidie nkajsajr rasmi
nmeamin ACT sio saccos ya mtu natangaza rasmi kuisaka kad ya ACT TANZANIA npo kurasin mwenye kuweza nielekeza ofc ilipo karb anisaidie nkajsajr rasmi
Tena Kikundi cha Kufa na Kuzikana....
Unaweza pia kujisajiri ofisi yoyote ya CCM iliyo karbu yako.