issakwisa6810
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 309
- 84
hilo nikundi la wapumbavu wenye njaa tu.sio siasa makahaba wa siasa
Nimescrow hadi mwisho kutafuta kauli za waenezi wa chama hapa kina Mwl.Kaijage, Deo Rangimoto na wengine sijaziona. Mkija pliz mniquote...
Ndo hasara ya kuanzisha vitu katika misingi ya usaliti...
Wapi Nyakarungu na Dotto Rangimoto...??
ngoma ya kitoto mwisho huwa ni saa 12 jioni.Chaliiiiiiiiiiiiii.....