Mwenyekiti ACT - Ang'olewa !

Mwenyekiti ACT - Ang'olewa !

hakikufikia level ya kuitwa chama kilikuwa bado kwenye steji ya KIKUNDI.

ACT wamekosa "organisational culture"

"The pattern of basic assumptions that a given group has invented, discovered, or developed in learning to cope with its problems of external adaptation and internal integration, and that have worked well enough to be considered valid, and, therefore to be taught to new members as the correct way to perceive, think, and feel in relation to those problems."

Culture is the social glue that helps hold an organization together by providing appropriate standards for what members should say or do.
· It has a boundary-defining role.
· It conveys a sense of identity for organization members.
· It facilitates the generation of commitment to something larger than one's individual self-interest.
· It enhances social system stability.
· It serves as a "sense-making" and control mechanism that guides and shapes the attitudes and behaviour of employees.



R.I.P ACT
 
Duh hii kali ndio roho za kupinduana wenyewe kwa wenyewe kabla hata ya kufika mbali, kura yangu siwapi hata wakiwa na sababu nzuri...ni mie nisio na chama.
 
Vyama vya upinzani Tanzania ni majanga tu.
Ndio maana wananchi wanavipuuza.
 
HIki kichanga kimekufa maana halikupata sindano za kinga!! ha ha ha ha !! Kachama ka wajanja wajanja! busara sufuri kabisa!
 
Aisee,mwenyekiti wa ACT kung'olewa ndio kusema Zitto Kabwe ndiye atakaye shika usukani?:
 
Si walisema wao hawafukuzani? kila mtu anamfukuza mwenzie...lol

Mwenyekiti kamfukuza m/ MKITI NA KATIBU NA BAADHI YA WAJUMBE KAMA KITILA MKUMBO gafla katibu anageuka na kumfukuza mwenyekiti ambaye alishawafukuza. Hvi hiki ni chama au genge la wahuni?
 
Keshawatosa zamani...
Imagine siku Yesu alipowaambia wanafunzi wake watangulie kwa boti kisha kawafuata akitembea kwa miguu juu ya maji...

Sasa hawa waliambiwa watangulie kwa boti... baadae Zitto kachukua zake gari karudi town
 
Keshawatosa zamani...
Imagine siku Yesu alipowaambia wanafunzi wake watangulie kwa boti kisha kawafuata akitembea kwa miguu juu ya maji...

Sasa hawa waliambiwa watangulie kwa boti... baadae Zitto kachukua zake gari karudi town

Hahahaaa mkuu umeua....na mbaya zaidi kule mawimbi yanawasukasuka wanajutraaa kupanda hiyo boti. Wasali tu sala zao za mwisho maana ndo wanazama ivooo....
 
LIMBU kahongwa na Chadema kukivuruga chama cha wazalendo. Akafie mbali jamaa huyu. Kila la heri wanaACT pia jiandaeni kumpokea jembe Lowassa na Zitto.
 
Mh! Mpaka hapa sijui nani amefukuzwa na nani na nani anabaki na nani na nani anaongoza chama na nani.!
 
Kung'olewa kwa huyo M/kiti ACT ni ishara kuwa Zitto Kabwe ndiye atakaye kuwa M/Kiti.Ila pia nisaidieni kujua,inawezekana kuwa mbunge wa chama kingine na wakati huohuo ukawa M/Kiti wa chama kingine cha Siasa?
 
Back
Top Bottom