Mwenyekiti ACT - Ang'olewa !

Mwenyekiti ACT - Ang'olewa !

Nimescrow hadi mwisho kutafuta kauli za waenezi wa chama hapa kina Mwl.Kaijage, Deo Rangimoto na wengine sijaziona. Mkija pliz mniquote...
 
Hawa Jamaa wako Predictable ile mbaya... Wote tulijua kuwa Fedha za ESCROW zikiwaishia watang'oana na imekuwa hivyo...
 
Hiki chama huwa naziona thread zake kwenye mitandao tu
 
Sorry ACT ndio kitu gani ? just for peace.
 
kwa heri baba wa taifa ulazwe pema pepon wote sema aaaaaaaaaminaa
 
LIMBU kahongwa na Chadema kukivuruga chama cha wazalendo. Akafie mbali jamaa huyu. Kila la heri wanaACT pia jiandaeni kumpokea jembe Lowassa na Zitto.

Umefugwa ki ngaaafu
 
Wapi mwalimu kaijage msaka tonge ebu jitokeze utujuze kama kawaida yako
 
Chama cha majuha hiki hasa zitto ndiyo juha namba moja.
 
hiki chama kinatuchanganya sana alie na uhakika thabiti naomba anisaidie majina ya waasisi
 
Tatizo ccm kutotekeleza ahadi yake ya kukisaidia hichi chama kivedha!walitoa mwanzoni wakitegemea akina Zitto watakimbilia huko haraka
 
Keshawatosa zamani...
Imagine siku Yesu alipowaambia wanafunzi wake watangulie kwa boti kisha kawafuata akitembea kwa miguu juu ya maji...

Sasa hawa waliambiwa watangulie kwa boti... baadae Zitto kachukua zake gari karudi town
HaaHAAA A! Mkuu umemaliza tena mbaya zaidi aliwachagulia boti iliyotoboka akijua jamaa hawatachukua muda kwisha habari yao.
 
LIMBU kahongwa na Chadema kukivuruga chama cha wazalendo. Akafie mbali jamaa huyu. Kila la heri wanaACT pia jiandaeni kumpokea jembe Lowassa na Zitto.
Hivi mpaka leo huna akili yakujisimama ungemuheshimu Limbu alieznguka Tanzania nzima kutangaza chama cha misikitini cha de republica le congo Lowassa mwizi ndio wa kujivunia Zitto msaliti Lakini Limbu atkufyatisha
 
Ndo hasara ya kuanzisha vitu katika misingi ya usaliti...
Wapi Nyakarungu na Dotto Rangimoto...??
 
Hawa Jamaa wako Predictable ile mbaya... Wote tulijua kuwa Fedha za ESCROW zikiwaishia watang'oana na imekuwa hivyo...
That's is very true mbona sasa hata wale waliokuwa wakishinda JF na mapambio wamekimbia
 
CCM B wanafukuzana. Kesho utasikia Limbu akiwafukuza wote waliomfukuza yeye. Game linaelekea mwisho. Ngoja tuone stelingi atakuwa nani! dotto Rangimoja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom