Mwenyeji wa Nkasi, kabwe..biashara vipi maeneo hayo? Biashara ya uvuvi je?

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,896
Reaction score
7,522
wadau kwema..?

Eh bwana kun mwenyeji yeyote wa maeneo nliyotaja hapo kwenye kichwa Cha habari?

Vip Kuna fursa zozote maeneo hayo ..iwe kilimo ama uvuvi ama biashara nyinginezo?

Ntashukuru kama ntapata mpambanaji aliyeko maeneo ya kongo pia.
 
Nakushauri uende mwenyewe ujionee
wadau kwema..?

Eh bwana kun mwenyeji yeyote wa maeneo nliyotaja hapo kwenye kichwa Cha habari?

Vip Kuna fursa zozote maeneo hayo ..iwe kilimo ama uvuvi ama biashara nyinginezo?

Ntashukuru kama ntapata mpambanaji aliyeko maeneo ya kongo pia.
 
Humu hamna wenyeji wahayo maeneo hata congo?
 
Back
Top Bottom