Mwenye wimbo wa "mbele kwa mbele" anitumie niweke Ringtone

Mi mwenzenu huu wimbo nilikuwa siujui. Sa kuna siku Mwaka jana, tupo ktk mataa ubungo lisaa lizima, gari haziendi. Ndio kushtuka. La haullah. Kuna kikosta cha rangi za YANGA, kinapiga huu wimbo afu kiko slowly kama kimebebba maiti, kinatokea SHEKILANGO kinaenda KIMARA. Kumbe ndani kuna yule jamaa aliegombea ubunge UBUNGO na KUBENEA. Kifupi mi nilianza kuisoma namba kabla hata hatujapiga kura.
 

IMG_20161206_051838.jpg

hako ka wimbo kanaendana na hiyo habari ya viongozi.
 
Nilianza kupenda melody kwanza baadae ndio ujumbe nikaja kuuelewa ila kanachezeka vizuri sana mpaka jasho linakutoka ila hayo maneno sasa!
 
Back
Top Bottom