Mwenye wasifu wa DED mteule Iringa DC Bw. Robert Mgendi Magunya

kifimbodo

Senior Member
Apr 23, 2015
151
73
Humu naamini kila taarifa yaweza patikana kwa unyenyekevu kabisa naomba yeyote mwenye CV ya DED mteule hapo juu aniwekee yaani kiwango cha elimu yake na uzoefu wa kazi aliyokuwa nayo awali.
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom