ndio mkuu napenda unisaidie kama unacho,
Sasa unataka umshinde had shemej?asantee mkuu, nataka niwe smart kila wizara
Ndio lengo kuu, kutafuta hela nimshinde, utanashati nimshinde, kimawzo nimshinde,kunyanduaa(psychology nimeiva) nimshindee , mapishi napo nimshinde nakula totorial then na apply kwa vitendo, mapishi yote tz nzima najifunza hapa hafui dafu, na mengine mengi nimshindee.Sasa unataka umshinde had shemej?
Usije shangaa siku moja mkeo kakununia kisa watoto wamesema "bora angepika baba"ndio lengo kuu, kutafuta hela nimshinde, utanashati nimshinde, kimawzo nimshinde,kunyanduaa(psychology nimeiva) nimshindee , mapishi napo nimshinde nakula totorial then na apply kwa vitendo, mapishi yote tz nzima najifunza hapa hafui dafu, na mengine mengi nimshindee.
Aya bhana. Penda kuingia na YouTube napo panasaidiandio, navotaka naoovertake kila kona ya wizara, nataka wanione kama malaikaa kumbe mdoshoo
Ndio, navotaka naoovertake kila kona ya wizara, nataka wanione kama malaikaa kumbe mdoshooUsije shangaa siku moja mkeo kakununia kisa watoto wamesema "bora angepika baba"
Nipo na Instgram, foodlovers wale wana menyu kama zote, bado mafunzo nauzulia.Aya bhana.
Penda kuingia na YouTube napo panasaidia
Mkuu hicho kitabu ulichonacho ni soft copy?Hivi hvyo vitabu huwa vipo kweli? Ukiitaji cha mapishi ya kawaida tu ninacho kimoja
Ndio angalia comment #6 nimeisha viweka tayariMkuu hicho kitabu ulichonacho ni soft copy?
Wewe ni mjuzi kwenye hii idara, nataka kujifunza kwa kweli ila hasa hasa vyakula vya asili.Ndio angalia comment #6 nimeisha viweka tayari
Hamna ata😁😁😁Wewe ni mjuzi kwenye hii idara,nataka kujifunza kwa kweli ila hasa hasa vyakula vya asili.
Mm pia najifunza niseje msumbua wife nikioa na napenda kujaribu tu kupata radha tofauti ya chakula kwaiyo najikuta nalazimika kujaribu kupika pika.Wewe ni mjuzi kwenye hii idara,nataka kujifunza kwa kweli ila hasa hasa vyakula vya asili.