Mwenye Uzoefu na Samsung galaxy a21s

A71 nzuri ni ile yenye 5g, yenyewe inatumia sd 765 ni soc yenye nguvu, ila nayo pia hai deserve price tag ya zaidi ya milioni.
Na samsung note 10 vip mkuu bei yake ni ipi nzuri kuna sehemu inauzwa kama 1.4m au hiyo ni juu sana ila spec za camera na battery ziko chini au hazina shida
 
Note 10 ama Note 10 plus?

Plus ndio ipo vizuri zaidi, na sio mbaya kwa hio bei. Kama ni note 10 kamili bora uangalie varieties za S20 kama S20 FE hii itakupa specs nzuri kuliko Note 10 kwa bei nafuu zaidi.
 
Thanks for your assistance
 
Back
Top Bottom