Na samsung note 10 vip mkuu bei yake ni ipi nzuri kuna sehemu inauzwa kama 1.4m au hiyo ni juu sana ila spec za camera na battery ziko chini au hazina shidaA71 nzuri ni ile yenye 5g, yenyewe inatumia sd 765 ni soc yenye nguvu, ila nayo pia hai deserve price tag ya zaidi ya milioni.