Mwenye uzoefu na Marekani msaada nahitaji

Series na movie za kimarekani zimekuharibu akili , unadhani huko mambo mtelezo?

Wamarekani wenyewe wanaikimbia nchi yao wanaenda kuishi kwenye nchi ambazo maisha yapo cheap ...wenyewe wanaita " off the grid"
 
Piga kibiriti hiyo hela. Huna plan ya maisha yako. Dola 1500 ndo inakupa akili ya kwenda USA (sounds like USA RIVER)???
Manake ukiendelea kukaa nayo itakupa akili ya kwenda akhera/mbingu.
Usa river! Mjomba we kiboko!
 
Usiwatishe watu ndugu! Akiingia atapata akili mpya. .
 
Ishu ni kupata hiyo viza sasa, maana kwa sababu yako kupewa viza ni shida bora ingekuwa kusoma labda
 
Hapa tz huwezi kupata kazi? au hadi utimize ndoto ya kwenda marekani,any way kama kazi ya nguvu utapata,ila unaweza kupora mapato kwenye show za miziki? welcome in Florida gangsters institute,tukupe nataka kama zote
 
hakuna jambo zuri kama kufuata unachokitamani.

maisha ni nini bhana... kama tamaa zako zinakutuma kwenda merekani nenda mzee baba.

Kikubwa viza inaweza kukuharibia mipango maana hao jamaa hawagawi tu...

$3000 ulizonazo zinaweza kukutosha au zisikutoshe... inategemea unaenda kwa viza gani.
 
Tatizo letu wabongo ni pale unapomsaidia mtu anafanikiwa then anakunya juu.kila mtu apambane na khali
 
Ooh is not that simple lazima unapokwenda kuomba viza ubalozini uwe na documentary proof ya sponsor.....la kama unajidhamini mwenyewe uwe na bank statement yenye ukwasi wa kutosha
Na Ukiwa nayo watakuambia Baki ujenge nchi yako kama entrepreneur
 
Ondokea na gia ya kusoma....hivyo vihela ulipie hata registration tu, ukifika huko ndo ubebe boksi sasa!
Nikiwa na mwanamke intelligent kama wewe hakika dunia ingekuwa ndio peponi yangu
 
 

Attachments

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…