Mwenye uzoefu na hivi ving'amuzi vipya vya antenna ya azam

Apr 26, 2016
21
19
Naomba mrejesho kwa ambaye ameshatumia decoder mpya za antenna za azam. Nahitaji mrejesho hasa upande wa muonekano wa picha,radio stations, kukwama kwa picha wkt wa mvua na upepo.

NB. Ni kwa ambaye ametumia au anatumia ili feedback iwe accurate
 
Hata mimi pia namashaka kunata kwa picha,nikipata mrejesho kwa wanaotumia angalau ntaanza kuviaminia.
 
Hivi vifurushi na channels zinakua sawa na wanaotumia madish? Au kuna upungufu/ongezeko wa channels?

Nipeni majibu wakuu..
 
Advantage ya Antena ni kwamba haviathiriwi na hali ya hewa, disadvantage yake ni kwamba inabidi uwe karibu na mnara kama upo mbali kidogo itanata Nata.

Vyema uangalie kama kuna jirani ama waulize Azam kama eneo lako lipo covered.
 
Kama upo mbali na mnara huwezi kuboost signals kwa namna yoyote..?!

Na hii minara iko wapi hasa wameisimika wenyewe Azam au wamepachika vifaa vyao kwenye cellular towers hizi za mitandao yetu? Em nipe reference kidogo mkuu..
 
Apana kama hamna networks yao tumia vya dish, wa vijijini au kando ya miji waliyo funga minara yao
 
Sijui kwa Azam wame weka wapi ila kwa pale Udom wa startimes ulikuwa unaona kwa Macho mlimani.

Sina uhakika ila nahisi wanaweza kushare minara na mitandao ya simu, frequency za DVB T ni ndogo sana zinaingiliana tu na mtandao wa tigo 4g, waliobakia wote frequency ni kubwa kwenye 3g na 4g.

Sijajua hapo wanashare vipi ama wanafunga vipi wajuzi watakuja zaidi.
 
Ipo Segerea au Kinyerezi na inashika hadi umbali wa 25km tu kutoka hapo
 
Apana kama hamna networks yao tumia vya dish, wa vijijini au kando ya miji waliyo funga minara yao
Sijui kwa Azam wame weka wapi ila kwa pale Udom wa startimes ulikuwa unaona kwa Macho mlimani.

Sina uhakika ila nahisi wanaweza kushare minara na mitandao ya simu, frequency za DVB T ni ndogo sana zinaingiliana tu na mtandao wa tigo 4g, waliobakia wote frequency ni kubwa kwenye 3g na 4g.

Sijajua hapo wanashare vipi ama wanafunga vipi wajuzi watakuja zaidi.
Asanteni hapa mmenifungua ufahamu..
 
ni kisambuzi kizuri tu kwa kweli hd ni hd kweli sio ubabaishaji.nadhani kuna kama channel nne za hd hizi za michezo
 
Sijui kwa Azam wame weka wapi ila kwa pale Udom wa startimes ulikuwa unaona kwa Macho mlimani.

Sina uhakika ila nahisi wanaweza kushare minara na mitandao ya simu, frequency za DVB T ni ndogo sana zinaingiliana tu na mtandao wa tigo 4g, waliobakia wote frequency ni kubwa kwenye 3g na 4g.

Sijajua hapo wanashare vipi ama wanafunga vipi wajuzi watakuja zaidi.
...
mkuu frequency kwa Dar zipi?
 
Back
Top Bottom