Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
313
Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia.

Naomba uzoefu hatua kwa hatua kuanzia kwenye kuingia mikataba na Hawa wasanii Hadi kurekodi, kufanya promotion na split ya mapato inakuwaje.
 
Kuna siku nilimsikia niki wa pili anasema bongo fleva ni industry mpya kabisa kwasababu toka imeanza hakuna research yoyote iliyofanyika inayohusu industry kwa ujumla wake.

Biashara inaenda kwa kubahatisha tu
 
Sawa sawa mkuu......ngoja wajuzi wa mambo watumegee undani wa hii industry......maana nataka kuwekeza lakini nahitaji kujua undani wake
 
utapoteza pesa yako bure
labda uwekeze kwa mziki wa alikiba au diamond, vinginevyo utalia

Hahah wabongo kwa kukatisha tamaa bana....
Sema jamaa ana point ukiwekeza on the wrong person utapoteza hela zako lakini ukiwekeza on the right person utapiga pesa
Lakini sio lazima aliowataja hao maana hata hao walikuwaga underground, kina mario kina countryboy wozu wote walikuwaga nothing but chipukizi
But also ukiachana na maswala ya kipaji cha artist inabidi uwe na techniques na strategies nzuri za kupaisha huo mziki
 
utapoteza pesa yako bure
labda uwekeze kwa mziki wa alikiba au diamond, vinginevyo utalia
Naomba kujua sababu zinazoweza sababisha kupoteza hela Kama nitafanya kupitia kwa wasanii wengine chipukizi. Shida inakuwa wapi Kama utapata mtu mwenye kipaji ambacho kinaeza fikia viwango vya Alikiba au Diamond?
 
Huyo msanii ushampata?
 
Naomba kujua sababu zinazoweza sababisha kupoteza hela Kama nitafanya kupitia kwa wasanii wengine chipukizi. Shida inakuwa wapi Kama utapata mtu mwenye kipaji ambacho kinaeza fikia viwango vya Alikiba au Diamond?
Kwasababu mkuu mtaani vijana wengi wanaimba kama mondi na kiba....find something unique but also perfect
 
Kwasababu mkuu mtaani vijana wengi wanaimba kama mondi na kiba....find something unique but also perfect
Ok una maanisha mtu mwenye kuja na style yake unique lakini yenye mvuto sio? Na hapa waweza tumia vigezo gani kupima uwezo ?
 
Ok una maanisha mtu mwenye kuja na style yake unique lakini yenye mvuto sio? Na hapa waweza tumia vigezo gani kupima uwezo ?
i)Tangaza dau sikiliza watu wengi usikomae na mmoja kisa unajuana nae....
ii)Shirikisha mawazo ya wenzio
Wewe mwenyewe in your bones utamsikia tu yule mtu perfecto

Na hiyo ni part A tu ya kumpata artist
Part B ni kumtoa ndo most challenging....

nimeshaona watu wana pesa (meneja wa jembe fm,meneja wa Tigo Tz) wanapata wasanii wanaojua kuimba kinoma (angalia youtube the jovins kuliko jana)...yani mpaka hapo part A wamefanikiwa 110%

Lakini wanafail part B wamefail pakubwa sana
 
Citizen B,
Thanks Kaka kwa hiki kipande! Inaonesha una maarifa na hii sekta. Naomba tumegee na part B. Na Kama hutojali na aina ya mikataba wanayoingia na Hawa underground
 
Thanks Kaka kwa hiki kipande! Inaonesha una maarifa na hii sekta. Naomba tumegee na part B. Na Kama hutojali na aina ya mikataba wanayoingia na Hawa underground
Mikataba ya muziki ipo mingi na inatofautuina lakini ni biashara kama biashara zingine nawewe unataka faida...
Traditionally walikuwa wanafanya ivi..
Unampata msanii mnasign mkataba,unampa advance tuseme mil5
Hiyo ni kwaajili ya vitu kama nguo na mambo mengine
Halafu unamgharamia kuproduce mziki i.e maproducer,video shoot etc.
Unagharamia promotion na marketing ya huo mziki
.
.
Ukishafanya hivo tuseme totally itakuwa mil 10 (mfano)
.
.
Baada ya hapo ataanza kuingiza pesa kupitia stream eg. Youtube,spotify etc.
Tuseme akaingiziza mil30
.
Hapo kwenye mkataba wewe utachukua gharama yako ile mil10 halafu inayobaki mnagawana na msanii
Kwahyo mil20 managawana
Sasa kuhusu asilimia ni makubaliano inaweza kuwa 50/50 au vyovyote lakini ni makubaliano....
Saivi kuna hizi 360 deals ambazo huishii kuchukua pesa kwenye mziki tu lakini kwenye kila kitu anachofanya kama shows,merchandise,matangazo etc. yan chochote anachofaidika kupitia mziki wake
in that sense pia lengo ni kurudisha gharama yako na kugawana faida...
.
.
.
Kuhusu part B hiyo ni upande wa marketing plan na promotion na distribution ya mziki hiyo haina formula,kila mtu ana formula yake lakini unaweza ukatafuta nyuki waliosoma marketing mkatengeneza asali
Au ukatumia uGenius wako ila partB sio lazma niseme kila kitu
 
Back
Top Bottom