Mwenye uzoefu na ajira world vision:msaada

wamoro

Member
Sep 16, 2009
62
16
Wadau nimepiga interview world vision ila mwezi umepita naona kimya kabisa,naomba msaada kwa wenye uzoefu na ajira za world vision wanachukua muda gani kuita kazini baada ya interview.
Manake presha iko juu kweli kweli na ugumu wa maisha haya.
 
mkuu kuna mshikaji wangu keshaanza kazi sa sijui km mlikua interviewed pamoja..anyway don give up man
 
Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita.
 
Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita.

Try to call them, watakwambia tu, kama usubiri au wenzio kazi wameshaanza.
 
Two weeks after interview wanakuita ukiona kimxa ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe
 
Two weeks after interview wanakuita ukiona kimya ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe
 
Back
Top Bottom