Mwenye uzoefu na ajira world vision:msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye uzoefu na ajira world vision:msaada

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by wamoro, Jun 13, 2012.

 1. w

  wamoro Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nimepiga interview world vision ila mwezi umepita naona kimya kabisa,naomba msaada kwa wenye uzoefu na ajira za world vision wanachukua muda gani kuita kazini baada ya interview.
  Manake presha iko juu kweli kweli na ugumu wa maisha haya.
   
 2. w

  wamoro Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau....
   
 3. e

  elie Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kuna mshikaji wangu keshaanza kazi sa sijui km mlikua interviewed pamoja..anyway don give up man
   
 4. w

  wamoro Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita.
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Try to call them, watakwambia tu, kama usubiri au wenzio kazi wameshaanza.
   
 6. w

  wamoro Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu kwa mawazo,
   
 7. Marga

  Marga Senior Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Two weeks after interview wanakuita ukiona kimxa ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe
   
 8. Marga

  Marga Senior Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Two weeks after interview wanakuita ukiona kimya ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Sure.....just ndani ya week mbili
   
Loading...