Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

Hakuna mahali popote katika ripoti ya Mwakyembe ambapo Lowassa alitajwa kuhusika na ufisadi. Lowassa aliwajibika kutokana na makosa ya watendaji wa chini yake yaani political responsibility.
 
Ki uhakika na kimazingira angekuwa fisadi asingekubali kujiuzulu, angekuwa king'ang'anizi.
Tabia za mafisadi tumeziona kwenye sakata la escrow.

Lowasa ni kiongozi wa mfano, mzalendo, makini mwenye kupenda maendeleo ya mtanzania mmoja mmoja
 
ukweli wa hili anao mwenyewe na kwakua kaamua kufanya siri acha watu waropoke ikimuuma atasema tu
 
............

1. kigezo gani unatumia kuweka post kwenye thread
2.Kwanini unalazimisha wanajf wawachagulie mgombea wenu huku ukikataa we we kujibu maswali sasa nakuongeza swali lingine

3. Tuambie Lowasa alisitafu uwaziri mkuu Kwa kuwa umri wake mkubwa au aliugua kiasi kwamba alishindwa kutekeleza majukumu yake kama waziri mkuu.....
4.Tuambie Mgombea yupi mwingine anautafuta urais kwa kumwaga note kama Mgonjwa Lowasa, je kwa nmna anavyogawa pesa kwanini hagawi jimboni kwake au kama hawezi kugawa kwanini asiwajengee visima vya maji kwenye jimbo lake usinijubu as if Monduli nipale TMA au pale stand, najua anautafuta urais mpka Kwa kiss na hug!..
Tangu mwaka juzi anazunguka makanisani na misikitini kugawa mamilioni mfano uzinduzi Wa kwaya anatoa million 50 mpaka 200 lakini kwenye maafa kama yaliyotokea siku za karibuni huko Kahama watu zaidi ya 30 walikufa akatoa mil 5..
.....
jenga hoja nitakuja na ya AICC na General Tyre, NMC na kampuni yake Monaban, Leopard Tour....
 
peleka ushahidi mahakamani ni HAKI YAKO YA MSINGI JUU YA YALE AMBAYO UNAHISI YANA HAKI YA KUWA MASHTAKA KAMILI/
Acha blah blah Fanya uamuzi sasa!!!

jambazi Dawa yake kiberiti tu...eti upeleke mahakamani Kwa Mahakama ya Lugemalila na Chenge...
 
Hakuna mahali popote katika ripoti ya Mwakyembe ambapo Lowassa alitajwa kuhusika na ufisadi. Lowassa aliwajibika kutokana na makosa ya watendaji wa chini yake yaani political responsibility.

umejiunga lini JF...ufisadi Wa lowasa haujaanza kwenye Richmond alianza akiwa Mkurugenzi Wa AICC..
 
Lowasa Analalamika Kwamba Hakuojiwa Je? Wakati Wa Utawala Wake Ni Wakuu Wa Wilaya Wangapi Aliwatimua Bila Kuwahoji? Je? Alitaka Ahojiwe Ili Atoe Lushwa? Kwanini Alipopewa Mda Bungeni Hakuyazungumza Hayo Ambayo Angeyajibu Pindi Angehojiwa Ili Watanzania Tuchambue? Kwanini Alitaka Kuhojiwa Gizani? Anapojiuzulu Alisema Analinda Masrai Ya Chama Je? Anaona Bora Kulinda Masrai Ya Chama Kuliko Ya Wananchi? Alitangaza Anaenda Kusema Ukweli Arusha Kwanini Hakugusia Kabisa Je? Aliogopa Biti Za Mwakyembe?
 
Muda wa kampeni kila kitu kitawekwa hadharani. Kwa sasa watapata mbinu za kuwaadaa wananchi.
 
Lowassa naona anatajwa mara nyingi zaidi mitandaoni iwe vizuri au iwe vibaya Ila Naona anafulsa kubwa kuliko wagombea wengini
 
UKIWA MLAFI KUNA SIKU utakula sumu na ukiwa muongo ujuwe vilevile kutunza kumbukumbu,na ukilishwa ujinga hali anayekulisha anajua hicho anachokulisha ni ujinga na upuuzi basi PALEPALE BILA KUCHELEWA wewe unakuwa ZUZU.Soma Ripoti ya Richmond ndugu yangu acha uvivu.mlikimbia shule sasa mnatumwa kama majini mje mpaste upuuzi hapa jf.LOWASA ndio maana amekaa kimya muda wote akijua yote yaliyosemwa na yanayoendelea kusemwa ni kweli Tupi,MIMI binafsi nawashangaa sana watanzania wanaoshabikia MTU aliyeondoka serikalini kwa wizi na hajawahi kukanusha JE KAMA HILI TUNALOLIJUA LINATUSHINDA NDUGU ZANGU NI LINI SS WAAFRIKA WA TANZANIA TUTAKUWA NA AKILI TIMAMU VICHWANI MWETU,HAKIKA. KWA HALI HII NI DHAHIRI KABISA NCHI HII KWA SASA IMEJAA WATU WENYE LAANA NA MASHETANI.WATU WENGINE WANAJIITA eti WATUMISHI WA MUNGU lakini kwa kukosa hekima MUNGU Amewanyima Macho hivyo nao wamebaki kama wapiga debe tu.NDUGU ZANGU TUMRUDIE MUNGU NA TUKUMBUKE LOWASA HAJAKIRI MBELE ZA WATANZANIA KWA MUDA UNAOKARIBIA MIAKA NANE SASA KUTOHUSIKA NA KASHFA ZINAZOMKABILI cha ajabu sisi tunamshangilia.KWA AKILI HIZI KWELI MTU MWEUSI ATAENDELEA KUDHARAULIKA ULIMWENGUNI KOTE.
 
1. kigezo gani unatumia kuweka post kwenye thread
2.Kwanini unalazimisha wanajf wawachagulie mgombea wenu huku ukikataa we we kujibu maswali sasa nakuongeza swali lingine

3. Tuambie Lowasa alisitafu uwaziri mkuu Kwa kuwa umri wake mkubwa au aliugua kiasi kwamba alishindwa kutekeleza majukumu yake kama waziri mkuu.....
4.Tuambie Mgombea yupi mwingine anautafuta urais kwa kumwaga note kama Mgonjwa Lowasa, je kwa nmna anavyogawa pesa kwanini hagawi jimboni kwake au kama hawezi kugawa kwanini asiwajengee visima vya maji kwenye jimbo lake usinijubu as if Monduli nipale TMA au pale stand, najua anautafuta urais mpka Kwa kiss na hug!..
Tangu mwaka juzi anazunguka makanisani na misikitini kugawa mamilioni mfano uzinduzi Wa kwaya anatoa million 50 mpaka 200 lakini kwenye maafa kama yaliyotokea siku za karibuni huko Kahama watu zaidi ya 30 walikufa akatoa mil 5..
.....
jenga hoja nitakuja na ya AICC na General Tyre, NMC na kampuni yake Monaban, Leopard Tour....

Hivi wanatumia sheria gani kumlipa pensheni ya waziri mkuu mstaafu wakati aliondoka kwa kashfa ambayo hadi leo wino haujakauka? Au kwa sababu rais ni swahiba wake? Hui ndo inaitwa institutionalized corruption.
 
Wengine hatuna access ya kupata documents za ushahidi,ila huyu bwana hana maadili hata kimazingira tu,tazama waliomzunguka.na hata matumizi makubwa ya pesa ktk kusaka urais unatia shaka.
 
Lowassa naona anatajwa mara nyingi zaidi mitandaoni iwe vizuri au iwe vibaya Ila Naona anafulsa kubwa kuliko wagombea wengini

Bila shaka ndio President ajaye haina ubishi. Huku mtaani kwangu huwaambii kitu kuhusu lowassa. Anakubalika sana
 
Back
Top Bottom