Wamejib kwenye e mail wachukua watu 50 na wanafanyia attitude final test on line
mkuu kuna dogo kapata email jana na inagoma kufunguka. vipi kwako?Walituma email tarehe 21/feb kuwa wamechukua watu 50 na wakatoa apttitude test ya kufanya ndani ya dakika 25 then majina yatatolewa tarehe 20/march au kabla ya tarehe 01/april kwenye gazeti la Mwananchi au Daily news.
mkuu kuna dogo kapata email jana na inagoma kufunguka. vipi kwako?
Walituma email tarehe
21/feb kuwa wamechukua watu 50 na wakatoa apttitude test ya kufanya
ndani ya dakika 25 then majina yatatolewa tarehe 20/march au kabla ya
tarehe 01/april kwenye gazeti la Mwananchi au Daily news.
wanatumaje email tar 21 na deadline ilikuwa tar 28???.....mbona sielewi hapa
Jamani hao ni wezi achaneni nao mm mwenyewe npo miongon mwa watu walio tumiwa sms kwenye email lkn nimefatilia ao n wezi tu
Kama mtu huna taarifa kamili bora ukakaa kimya.
Bora tukakutaarifu ili kama
ni matapeli usijeingia mkenge maana maelezo yao ya mwanzo walisema
wangetoa majina tarehe moja feb lakini kwenye email walizotuma
wakabadilisha na kusema majina yatatoka tarehe 20 march.
TUWE MAKINI KAMA HAWAELEWEKI VILE.