Mwenye update juu ya kesi ya hawa masheikh

Kamwe usitumie dini kama mwavuli kufikisha dhana yako, utabaki peke yako na chatu
 
Kamwe usitumie dini kama mwavuli kufikisha dhana yako, utabaki peke yako na chatu
Kwa hiyo voingozi wa dini hawaruhusiwi kuzungumzia masuala ya siasa? Viongozi wa dini ni viongozi wa jamii pia.
 
Siwezi kuwa sehemu ya ukombozi kwa kipuuzi.! Hivi huo ukombozi unaoongelewa hapo ni kwa faida ya nani? Ili iweje?
Siwezi kulishwa matango pori kupumbavu pumbavu kisha nikakubali eti ukombozi
How.? Its nonesense!

Kama ukombozi wenyewe ndo huo bora waendeleee kuozea huko gerezani.

...gereza si kabur ata wakiozea mule but lazima watatoka tu either ni maiti au wazima,afu mtoto wa kiume kuogopa gereza ni umama,

Na hii mbnu ya kufungwa jela au kuuliwa ni kawaida kwa wanaoikosoa serikali ata mitume walipata ayo mambo. .
 
Back
Top Bottom