Mwenye update juu ya kesi ya hawa masheikh

Hawa wengi wao sio Watanzania bali ni wahamiaji haram kutoka Somalia na Uarabuni. Kikwete aliyajua haya ndio mana akawafunga. Hawa lengolao ilikuwa kuleta uislam wa kigaidi Tanzania na walishaanza. Nibora waendelee kukaa ndani paka aliyewatuma aombe msamaa.
Mbona wahamiaji wengine hufungwa na baada ya kifungo hurejeshwa makwao? Mbona hawa ni tofauti?

Vv
 
Hawa wengi wao sio Watanzania bali ni wahamiaji haram kutoka Somalia na Uarabuni. Kikwete aliyajua haya ndio mana akawafunga. Hawa lengolao ilikuwa kuleta uislam wa kigaidi Tanzania na walishaanza. Nibora waendelee kukaa ndani paka aliyewatuma aombe msamaa.
Acha upotoshaji! Kama ni wahamiaji haramu mbona uhamiaji hawajasema!!?

Au ww ndo umechunguza na kubaini kuwa ni wahamiaji haramu!!?

Hawa masheikh ni wazawa wa Zanzibar na ndio waliokuwa viongozi wa kundi LA uamsho.

Uamsho ni kundi LA kidini lililokuwa linaelekeza waumini wakatae dhulma zinazofanywa na watawala, na hasa walikuwa wanalenga zaidi uhuru wa wazanzibar bila kuingiliwa na bara.

Watawla waliposhindwa kujibi hoja, walianza kutumia polis kuwapiga mabom kwenye kila mkutano waliofanya.

Walipoona mbinu ile imefeli, wakaunda makundi ya wasiojulikana, tofauti na huku, kule wasiojulikana wanaonekana waziwazi wakitumia magari ya vikosi vya kmkmm , huku wamevaa musk.walikuwa wanaitwa mazombie.

Mazombie walitisha sana! Walivamia watu waliowashuku. Na kuwapiga marungu na mapanga! Wakati mwingine walitek watu na kuwapeleka kusikojulikana. Na vijana\raia hawajakubali!

Mitaa ya DARAJA bovu, Jang'0mbe na Uzini. Ilikuwa haifai kbs! Tena Kwa sisi wabara ilikuwa ukihisiwa tu ni polisi au jeshi kazi unayo kwa raia! Binafsi nilikuwa naogopa sana kutembea mitaa tofauti bila mwenyeji"

Mbinu ile ya kutia hofu haikufua dafu mbele ya raia.

Pamoja na kuwakamata hao viongozi Mara nyingi na kukosa ushaidi wa kuwatia hatiani na kuwaachia,

Mwisho ndo walikuja na mbinu hii ya kuwakamata wote na kuwahamishia magereza za huku, ni miaka imepita sasa, naskia wamepewa kesi ya uhain, na uchunguzi haujakamilika!

So sad.

"Mungu wa haki uwatangulie masheikh wetu ktk haki, amin"
 
Wakuu
Habari za usiku nimekaa na kuwaza sana juu ya hawa Masheikh wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kwamba uchunguzi wa kesi yao bado haujaisha

Je wachunguzi wa mambo
Kuna dalili yoyote ya hawa mabwana kushinda na kuchomoka kwenye kesi yao?View attachment 914348
kwanza kbs hapo hakuna kesi juu ya hao masheikh. kilichopo ni kuwakomesha na kuwatoa km mfano kwa yyote mwenye kujaribu kuhoji khs muungano rudia kauli makamo wa Rais Znz Mh Alhaji Seif Ally Iddy...
 
Tupaze sauti tena katika hili ndugu zanguni inatia uchungu" ahsante kwa thread
 
Mi nafikiri jamii kwa ujumla pasipo kuangalia itikadi/jinsia/kabila, jambo lolote la dhulma au unyanyasaji likitokea kwa mmoja wetu/kikundi cha watu, jamii kwa ujumla wetu yatupasa tupaze sauti.
Ndugu ulikuwepo Zanzibar wakati wa vuguvugu lile la uamsho?
Ulihudhuria ile mihadhara yao iliyokuwa ikifanyika.? Kuanzia pale Darajani, lumumba, au kule mahonda.?
Unafahamu kilichokuwa kinatokea mitaa ya jang'ombe na kiembe samaki au kwa mchina baada ya mihadhara ile?
Unafahamu madhara waliyoyapata watu baada ya mihadhara ile..?

Hebu fikiri kidogo kama wasinge zuiliwa hii Nchi leo hii ingekuwa wapi? Unakumbuka wale mapadri walio uwawa kule zanzibar?
Unakumbuka zile tindikali walizomwagiwa watu kule unguja.? Tulia kidogo vuta kumbukumbu kisha waza kama hawa masheke! Wangekuwa huru leo hii zanzibar ingekuwa wapi?

Bila shaka hawa na wale wa Kibiti ni ndugu moja, na wale waliokuwa wanasema Pwani si Kenya ni hawa hawa na style zao ni zilezile.
Ndugu kukamua jipu ili kutoa usaha ndani kuna hitaji roho ngumu ni lazima anayekamuliwa alalamike sana.kwa maumivu lakini hiyo ndiyo dawa pekee.

Tunashukuru serikali kwa hatua makini walizo chukua ningekuwa na uwezo ningekutumia hapa hotuba zao, na madhara yaliyotokea kwenye jamii baada ya hotuba zile. Kama uko Unguja hadithi hizi sio ngeni kwako.
 
Umenena vizuri sana. Wale njemba walitumwa kuharibu hali ya usalama hapa nchini. na sio watanzania halisi wale.
 
kwanza kbs hapo hakuna kesi juu ya hao masheikh. kilichopo ni kuwakomesha na kuwatoa km mfano kwa yyote mwenye kujaribu kuhoji khs muungano rudia kauli makamo wa Rais Znz Mh Alhaji Seif Ally Iddy...
Nakazia.....
 
Umenena vizuri sana. Wale njemba walitumwa kuharibu hali ya usalama hapa nchini. na sio watanzania halisi wale.
Ni wa Tanzania uhakika..
ndio maana wapo hapa ...ingekuwa wametoka hapo bara tu basi wangerudishwa na kuambiwa wasirudi tena Zanzibar!

Walikuwa mwiba!
 
Mungu atawafanyia wepesi huko walipo.

Mungu yupo na haya ni maisha ya hapa duniani tu.

Mda utafika na itajulikana ipi haki na ipi batil.
 
Kila post ninayosoma inaniambia "they're no longer in this world"
 
Ndugu ulikuwepo Zanzibar wakati wa vuguvugu lile la uamsho?
Ulihudhuria ile mihadhara yao iliyokuwa ikifanyika.? Kuanzia pale Darajani, lumumba, au kule mahonda.?
Unafahamu kilichokuwa kinatokea mitaa ya jang'ombe na kiembe samaki au kwa mchina baada ya mihadhara ile?
Unafahamu madhara waliyoyapata watu baada ya mihadhara ile..?

Hebu fikiri kidogo kama wasinge zuiliwa hii Nchi leo hii ingekuwa wapi? Unakumbuka wale mapadri walio uwawa kule zanzibar?
Unakumbuka zile tindikali walizomwagiwa watu kule unguja.? Tulia kidogo vuta kumbukumbu kisha waza kama hawa masheke! Wangekuwa huru leo hii zanzibar ingekuwa wapi?

Bila shaka hawa na wale wa Kibiti ni ndugu moja, na wale waliokuwa wanasema Pwani si Kenya ni hawa hawa na style zao ni zilezile.
Ndugu kukamua jipu ili kutoa usaha ndani kuna hitaji roho ngumu ni lazima anayekamuliwa alalamike sana.kwa maumivu lakini hiyo ndiyo dawa pekee.

Tunashukuru serikali kwa hatua makini walizo chukua ningekuwa na uwezo ningekutumia hapa hotuba zao, na madhara yaliyotokea kwenye jamii baada ya hotuba zile. Kama uko Unguja hadithi hizi sio ngeni kwako.

Padri aliyeuwawa walikuja wachunguzi kitoka nje walisema padri alikuwa anafanya biashara ya cocain
 
Back
Top Bottom