Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Waungwana naomba muongozo wenu kwa yoyote anaye jua hii kampuni iitwayo ISON pale uchumi hivi wameiita watu au ndo magumashi maana nimeapply mda sana kimya chao kimekuwa kingi
Yoyote aliyeitwa anijuze au ndo tumekula za uso
Yoyote aliyeitwa anijuze au ndo tumekula za uso