Na hadith zako ni za nani ??Adili na nduguze 😅😅
Mkuu pengine hatuelewani sababu tunaongelea vitu viwili tofauti
Kuna Screen lock(inawezekana) na kuna activation lock(haiwezekani)
Maadamu mwenzetu umefanikiwa tueleze basi ilikuaje?
Kama umesahau Password, kupitia Apple website unaweza tu kuirudisha iwapo utakumbuka na kuwa na access na njia mbadala ulizoweka kuritrive password yako lakini sio kwa kuwapa sijui risti ya manunuzi wala emei no then wao waifungue........HAKUNA KITU KAMA HII
Kuna jamaa iphone yake ilikua na screen lock na hana password kaliwa pesa kibao akadanganywa imetolewa icloud lock kumbe haikuwa hata na acc yoyote zaidi ya screen lock
Tuambie basi tupate ufumbuzi wenzio, yako ilikua iphone gani na ilikua ios gani? Maana isije ikawa ulikua na iphone 4 ios chini ya 8 hapo uwezekana upo anagalau
Mpaka sasa nshatudisha iphone za watu 12 sababu tumekosa njia ya kufungua, kila fundi atakwambia naweza ukimpa anatoa betri na kukuweke fake then anaanza sound, mmoja tukamuweka ndani wiki nzima
Tukahamia online, huko ndio usijaribu kabisaaaaa maana watakula hela na utaishia kupigwa sound tu na hujui hata utawapatia wapi
Ukitoa suluhu ya ulivyofanya mkuu ntapiga sana hela hata kama kutoa ni usd200
Vinginevyo itabaki ni hekaya za abunuwasi tu