Kaka nadhani ujamwelewa jamaa anachosema hii issue inawezekana kabisa.Pale nyuma ya simu kuna zile namba(IMEI) ukiziingiza kwenye system zitakupa full information ya mnunuzi wa simu hiyo mfano mnunuzi ni X aliinunua duka X tarehe X nk.Sasa kama hiyo Id umesahau kuna mtu atachukua hiyo namba(IMEI) iliyo nyuma ya simu na kuwasiliana na Apple kuwa mteja wangu amesahau Id yake Apple watachunguza na kuifungua,lakini kama mimi nimeibiwa hiyo simu na nikaripoti Apple maana yake haitawezekana kuifungua.Kwa Dar kuna jamaa anafungua kwa $170.Siyo lazima kumpelekea simu mpe tu IMEI namba.Hapa Dubai gharama ya kufungua ni $50 lakini kama wakigundua ni ya wizi.......